Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

Aende zake mwizi wa rambirambi kashamaliza pesa sasa a natafuta ujiko
 
'In order to change Africans you need to brainwash them'
 
Yupo sahihi kabisa kwa siasa za kiki walizonazo wapinzani
 
ushauri mzuri kwa kuwa arusha iko chini ya chadema ,kuanzia mbunge ,meya madiwani na ccm ni wapinzani ,dar es salaam , moshi ,mbeya ,mwanza karatu na maeneo mengine mh. ungeweka sawa hili kumaliza porojo kuwa wawe wamoja wasikwamishe kazi kwa kukosa udiwani ,umeya ,uenyekiti ubunge n.k isiwe ni sababu ya kukwamisha shughuli wafungue mioyo kazi ziende mbele.
 
Utawala wa Makaburu uling'oka Afrika Kusini na CCM itang'oka tu
 
Mauaji ya kibiti yamewashinda, wanahangaika na wapinzani tu
 
Kiburi chote wanachoonyesha bashite na gambo ni kiburi cha tume
 
Upinzani ulikwepo kabla ya huyo kenge hajajulikana so sioni ajabu akili ndo iko hivo
 
Ukimnyima mtu kutoa mawazo yake ni mbaya kwa hiyo hayo ndo maoni yake. Wassira aliyetoa kauli kama hiyo yuko wapi mtu anatoa kauli kama hii anajiona mwelewa kwa kuwa ana mamlaka kwa sasa angalii mbele
 
Kijana Gambo akumbuke ameanza kupata akili wakati upinzani upo....watu hawaangalii mnachapaje kazi watu wanaangalia matokeo ya hiyo kazi mnayoichapa...kwa miaka taktibani 25 serikali ya tz imefanyakazi bila bughudha ya upinzani wowote...matokeo yake ndo haya ya kuwaomba wananchi kutulia ktk awamu ya 5 walete maendeleo.
 
Hivi waponzani ndio walifanya bajeti ya 2016/2017 itekelezwe kwa asilimia 38%?. Kutekeleza ilani ya ccm kunategeme uhalisia Wa bajeti. Sasa wapinzani wakipotea mapato yanaongezeka?
 
Kweli Gambo kidume, maana watu walitapa hapa hakai hata wiki, mara mwezi. Sasa hivi mnacheza rune za Gambo
 
Kila jambo lina majira, kuna wakati wa nuru na kiangazi. Madaraka, yasiye sababu ya kuwa na kiburi ni kujikweza. Mungu hudharau na kuwashusha wenye kiburi.Just wait and see. Biblia inasema 1 Thessalonians 5: 3 , destruction suddenly comes to man, whenever he feels secure and in great comfort. It's always a matter of time
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…