Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

kupotea wapinzani sio tatizo. tatizo wanapoteaje? serikali inatumia ubabe kuwapoteza wapinzani. katiba haifuatwi. pia viongozi wa upinzani wanakamatwa bila sababu za msingi.
 
Elewa kasema aina ya upinzani na porojo zinazofanywa na Wapinzani kwa sasa. Jipangeni mtoke kivingine. Na hapa unaona ombwe la uongozi ukilinganisha enzi za Mtendaji mkuu wa enzi hizo Dr Slaa. Akisaidiwa na vijana wajenga hoja akina Zitto. Huko bungeni ulikuwa unabakia ubishi tu lkn wananchi tulikuwa tunauona ukweli wa mapungufu ya serikali katika hoja nzito zilizojaa Ushahidi zikiwasilishwa kwa ustadi. Tofauti sana na hali iliyopo. Mimi huwa na shauri sana kuhusu hili kwamba ni malengo ya kuwa na Taasisi imara zenye mawazo mbadala zenye kuwa na proactive ideas ndipo tutakwenda spidi kubwa zaidi ya maendeleo kuliko hata tulivyo kwa sasa.
Gambo yuko sahihi kabisa
 
That will only work if and when the almight God gives
 
Umesema kweli kabisa mkuu kuangalia wengi wao ni div 5 na ukitaka kuhakikisha hilo fuatilia habari za jamaa wa koromije
 
Kwa kuwa Mungu kasema mtakuwa madarakani mpaka Yesu atakaporudi otherwise hizo ni kauli uchwara ambazo zinadhihirisha ain
 
Huyu Gambo akili yake ndogo sana.
Haya muwapoteze kwa hoja sasa sio kwa vitisho, tuoeni huduma za jamii zilizo bora, afya bora, elimu bora, miundombinu nakadhalika sio mnaleta vitisho vya kitoto.
 
Toka lini ukaishauri mpinzani namna ya kukuangusha
 
Umekosea hizo ulizoweka bold ungewekea rangi ya kijani
ili ujitambulishe we we ni wa kukopi/kupest from Lumumba
 
Anadhani kupoteza wapinzani ni sawa na kupoteza pesa za rambirambi kwenye suruali yake..huyu atakuwa ombaomba kama Magesa Mlongo ni suala la muda tu
 
Nashauri huyu muGAMBO
ahamishiwe KIBITI
 
IPO cku pingu itaonekana km bangiri na bunduki km fimbo,uliza ufaransa miaka ya 1880
 
Watakao amua ni sisi wananchi Vyeo vyenu nidhamana tu
 
Kwa maneno na tabia zake za shombo angefaa sana KIBITI
 
Kauli hii inadhihirisha aina ya watawala tulio nao na uwezo wao wa kufikiri
 
Hivi ww Gambo ....kelele nyingi nilifikiri unaongoza United States of Africa kumbe ni ka.mkoa ka Arusha na bahati mbaya huna hati miliki. Baada ya kuboronga huko na Moshi sasa umerudi tena na porojo. Hii inaonyesha ww bila porojo hufui dafu kwa mziki wa Mbunge hata mmoja wa upinzani. 2020 hiyo, tupa karata yako jimbo la Arusha Mjini tuone ubavu wako.
 
Mhuni aliyeteuliwa na mhuni mwenzie; Katiba ya nchi maana yake nini? Wako wahuni wawili mmoja yuko Dar mwingine yuko A town. Wote ni saizi yetu hatubabaishi? Serikali ya mijihuni inaendeshwa kihuni tu!
 
Upinzani uliopo ni masalia. Yaani hauna jipya. Yaani ulishakufa siku nyingi mno. Tz hatuna upinzani. Rais aliposema mtu yeyote aliyepokea mwanachama/wanachama wa CCM aje awapokee pale kibaha mbona walikosekana? Yaani chama sasa ni CCM tu!
Alikuwepo Mabutu Seseseko leo yupo wapi? Alikuwepo Goliath leo yupo wapi? Elewa kila zama na watu wake, nasikitika kuona vijana hawajitambui wanafurahisha upande mmoja wakati hili nalo litapita ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…