Mrisho Gambo & Lema wakutana uso kwa uso leo

Mrisho Gambo & Lema wakutana uso kwa uso leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,308
Mbunge anayeingia Madarakani
Mbunge anayemaliza muda wake

Lema akiri Uchaguzi huu ni mgumu kwake na ameshajiandaa kisaikolojia

FB_IMG_16013801789108270.jpg
FB_IMG_16013801717445857.jpg
FB_IMG_16013801677238662.jpg
 
Gambo, wale maskari walinzi wakiwa na kipira mbona siwaoni ?
 
Hapa ndipo nafikiaga kuichukia siasa, maana huku mitaani watu tunatoana roho wakati wao wakikutana ni furaha na nderemo...
 
Sasa utashanga sisi wapambe tunavyoporomosheana matusi utadhani hamnazo, wakati wagombea wapo poa kabisa
 
Huko Arusha hata hakuna sababu ya kupiga kura, Lema ameshashinda anasubiri kuapishwa tu.
 
Lema amesema gambo ni mwepesi alafu ni mtamu.

Wewe nywng'au acha kumlisha lema maneno!
 
Huko Arusha hata hakuna sababu ya kupiga kura, Lema ameshashinda anasubiri kuapishwa tu.
Lema lema lema lema lema ...lema lema lema lema ng'ambo.

Lema lema lema lema lema lema lema lema lema .imeheribika!![emoji2][emoji2]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom