Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia ya aliyekua Mbunge na Mmoja wa wasisi wa Chadema Ndugu Philemon Ndesamburo.
Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.
Mrisho Gambo akisalimiana Na Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo. Mungu Alilaze Roho ya Marehemu Mahala Pema.