Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
"Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea jukwaani? miaka mitatu yote alikuwa navyo sasa hivi ndiyo avikose?
"Hata kama unataka kugombea njoo kwa utaratibu usinyanyase watu, kuna mjumbe mmoja wa kamati ya siasa anaitwa Asia alikuwa yupo Arumeru eti kwa sababu anakwenda ziara za mbunge wamemuamisha wamempeleka Ngorongoro lakini mpaka leo yupo Imara amebaki na msimamo wake ule ule kwa sababu Ngorongoro sio mbinguni ni hapahapa duniani. Halafu haya ni mambo ya mpito tu tunakwenda kwenye kura za maoni zikiisha uchaguzi ukiisha, maisha yanaendelea"
Pia, Soma: Mrisho Gambo: Mimi na yeye nani ameumiza wengi?
- Mrisho Mashaka Gambo Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Juni 14, 2025 wakati akizungumza kwenye mkutano mkuu maalumu wa utekelezaji ilani ya CCM uliofanyika katika kata ya Olasiti Jijini Arusha.
VIDEO: Jambo TV