Gambo ameongea ukweli mtupu. Kumbuka hata Magufuli hakumpenda.Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Gambo ameongea ukweli mtupu. Kumbuka hata Magufuli hakumpenda.
Gambo asulubiwe na watu wa Arusha kwa muda mwafakaDC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo (jana) imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya sh.Milioni 96 dhidi yake. Katika kesi hiyo Na. 7/ 2012 mlalamikaji ni Mwanasheria wa halmashauri ya Mji Korogwe, Najum Tekka...www.jamiiforums.com
Kwa kuwa alikuwa anasaka tonge kijana , simtetei ila angefanyaje wakati kwa kipindi kile alikuwa kafichwa mfukoni , Mwendazake akisema kasema nani wa kumpinga hapa Gambo angejitia wazimu kupingana na mkuu angetumbuliwa kwa mapema zaidi,. Mwacheni atubu zaidi.Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Ukitumbuliwa kwa kusimamia haki na ukweli utalinda heshima yako ya kudumu na wananchi ndio watetezi wako lakini sio huyu Gambo, alimtesa sana Lema katika mikutano yake halafu leo anajitoa ufahamu kisa anawinda uteuzi kuwa fulani baada ya naibu fulani kutumbuliwa hivi karibuni?Kwa kuwa alikuwa anasaka tonge kijana , simtetei ila angefanyaje wakati kwa kipindi kile alikuwa kafichwa mfukoni , Mwendazake akisema kasema nani wa kumpinga hapa Gambo angejitia wazimu kupingana na mkuu angetumbuliwa kwa mapema zaidi,. Mwacheni atubu zaidi.
... Mkuu bado hatujavuka; ndio tunajiandaa kushuka baharini tuombe sana maji yasirudi mahali pake tukiwa katikati. Yarudi jeshi la farao likiwa katikati - tuendelee na maombi!Hahaha tunavuka Shamu sasa
Nionavyo...tuko katikati ya bahari, Misri naye ameanza kuingia kwa kasi, tuongeze mwendo tumalizie kuvuka ili maji yamalize kazi kwa Farao na jeshi lake... Mkuu bado hatujavuka; ndio tunajiandaa kushuka baharini tuombe sana maji yasirudi mahali pake tukiwa katikati. Yarudi jeshi la farao likiwa katikati - tuendelee na maombi!
Sijakataa ila kwanini aseme Leo? Tutaaminije maneno yake? Je, kama aliweza kugeuka na kuyasema haya, tunajua kesho atasema nini? Kelele zake hazisaidii tena
Anayekufurahisha huna budi kumpenda japo kwa tahadhariGambo amefanya jambo la kijasiri sana. Tunampongeza kwa hatua hii ya kusimama hadharani kuhesabiwa upande wa kutetea haki.
Wale wanaomshambulia kwa kuwa sehemu ya watekelezaji wa uovu huo watambue yeye alikuwa anatekeleza maagizo ya bosi wake kama mtumishi mtiifu. Kwamba angejiuzuru...bado hatujafika huko...ajiuzuru afe njaa...hapana!
Pamoja na kuwa simpendi Gambo kutokana na matendo yake na kauli zake wakati alipokuwa mkuu wa mkoa,michango yake katika bunge inanishawishi kumuunga mkono. Anatimiza wajibu wake wa kibunge sawasawa.
Kuanza upya sio ujinga mzee km Gambo anakiri hadharani ni afadhali kuliko angekaa kimya sisi km taifa tutajua tulipojikwaa ili tusirudi huko tenaKama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute.
Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo.
Jana alisikika "akikandia" uporwaji wa Bureaus uliofanywa na serikali ya Magufuli huku yeye akiwa Mkuu wa Mkoa husika na akakaa kimya kwa wakati huo! Jana anadai kuwa kitendo hicho hakikua cha kibidamu.
Leo ameibuka tena baada ya watu wenye akili kuhoji kauli zake hizo, Leo anadai kuwa UTAWALA ule haukumpa nafasi yeye kama RC kutenda haki na majukumu yake yalitekelezwa na "Junior" wake kwa kisingizio cha "maelekezo kutoka juu".
Namkumbusha Gambo kuwa, hata huo Ubunge alionao Leo hapo anajua fika kuwa hakustahili kuwepo hapo, hivyo namshauri AJENGE HOJA aache kutukumbusha machungu ya ndugu zetu waliofilisiwa na Utawala dhalimu wa mwendazake
Sina tatizo kabisa na hilo, tatizo langu ni kwamba, kwanini anajivua accountability/responsibility? Yaani anaongea like hakuwa wala hakuwahi kuwa sehemu ya huo mfumoKuanza upya sio ujinga mzee km Gambo anakiri hadharani ni afadhali kuliko angekaa kimya sisi km taifa tutajua tulipojikwaa ili tusirudi huko tena
.sera mojawapo ya ccm ni unafiki