Mrijuana and Illuminati - The Marijuana Conspiracy

Mrijuana and Illuminati - The Marijuana Conspiracy

Nakubaliana na wewe 100% kwamba ipo conspiracy ya the Illuminati in outlawing the cultivation of the Marijuana plant,for their economic benefit.The plant is extremely important medicinally,for food and commercially.

Tatizo halipo kwenye Marijuana,liko kwa wanadamu ambao wame pervet matumizi ya the Marijuana plant.
 
Hivi kwanini serikali masikini Kama yetu inazuia kilimo Cha huu mmea Aisee mbonA una faida nyingi kuliko hasara?
 
Hemp ni ndugu yake Marijuana, wanafanana sura tu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom