Mrembo

Mrembo

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,767
Reaction score
288,340
Mrembo anawasubiri Wakuu utafiti na MziziMkavu kazi kwenu wakuu.

nicki-minaj-768x1024.jpg

 
Last edited by a moderator:
Utauwa watu na mwaka ndio bado mchanga.Nimekwambia nikuombe kitu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmmmmh haya ngoja watajwa waje, huyu Utafiti kila kona yupo
 
lol! Karibu sana ila niliwahi kukuuliza swali... Ulifanya nini mpaka PM yako ikafungiwa? Ukanipotezea lol!!! Omba tu.

Utauwa watu na mwaka ndio bado mchanga.Nimekwambia nikuombe kitu?
 
Ebana eee BAK huyu anafaa kunisahaulisha kipigo cha leo the gunners
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
lol! Karibu sana ila niliwahi kukuuliza swali... Ulifanya nini mpaka PM yako ikafungiwa? Ukanipotezea lol!!! Omba tu.


Basi ngoja tena nikuombee kwa hii thread ile kule naachana nayo.Kuna music video naziona through youtube ila nashindwa kuzidownload ziwe kwa simu yangu(usicheke ni mashikolo mageni kwangu).Kama hautojali naomba unisaidie niweze kuzipata

Kwako wewe PM iko wazi.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Khe khe kheeeeee Chezeya marafiki wengine weye!!! Shemeji shemeji huku hawakawii kuzima taa 🙂🙂 na kujirusha kwa raha zao kisha kujikausha kama siyo wao na adabu tele lol!!!

Hahahaha wivu hata kwa rafiki yako jamani???
 
Khe khe kheeeeee Chezeya marafiki wengine weye!!! Shemeji shemeji huku hawakawii kuzima taa 🙂🙂 na kujirusha kwa raha zao kisha kujikausha kama siyo wao na adabu tele lol!!!

Hahaha kweli shemeji wengine ni majanga tupu.......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom