Mrembo wa CCM pendeza sana

Mrembo wa CCM pendeza sana

Kotmiri

Senior Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
119
Reaction score
54
image.jpg

mchum mchummmm ana vi dimples na macho ya ashki
 
warembo wa chadema wanavishwa magwanda kama mgambo wa taliban
 
Huyu Kalazimishwa tu Kuvaa KiCCM, kwa maana hata ukiangalia Mademu kwa CCM wamechoka; Kwanza ni wazee waliowengi; Kama unataka uona Vimwana Nenda Upinzani ndipo kuna Damu Moto na sio Baridi za maCCM.
 
Huyu Kalazimishwa tu Kuvaa KiCCM, kwa maana hata ukiangalia Mademu kwa CCM wamechoka; Kwanza ni wazee waliowengi; Kama unataka uona Vimwana Nenda Upinzani ndipo kuna Damu Moto na sio Baridi za maCCM.
weka picha bac tuamini
 
weka picha bac tuamini

Chama Kikongwe kina watu wakongwe.. Cheki bungeni Dom utaona ni watu wazima na wala hauwezi hata Kucheza nae Disko huku ukimwangalia usoni ( Wamezeeka) na wale ni Watu wazima. Wanazingatia sera yao inayosema Vijana ni Taifa la Kesho na ndio maana wamezeeka na Chama chao Kimezeeka.
 
kucheza disco???
 
Ananisikitisha. Mrembo kamili hawezi vaa kijani ya escrow na njano ya epa!
 
Ckunyingine unaweka na pch yake maana kuona tu haitoshi
 
madem wa CHADEMA na magwanda yao kafikiri wagambo wa jiji
 
Hata kwa fimbo haunivalishi nguo yoyote ya rangi hiyo nasikia kinyaa, magwanda ndo habari ya mujin aixee..!
 
kwani huyu ndio alie fumaniwa na mwigulu kule igunga???
 
Back
Top Bottom