Mrembo na fasheni

vidole chini kiatu kimebak na nafasi tele, hivyo vitu vina wenyewe
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Ingekuwa vipi kama duniani wangekuwa ni mabinti peke yao?
Je wangetembea uchi kwa sababu hakuna wenzao?
Au wangejisitiri! Mitindo ingekuwa ya nini?
Ya kazi gani kama hakuna wanaume duniani?
 
Mitindo ingekuwepo,unadhan hapo kavaa kwa ajili ya mwanaume tu bali kuwarusha roho mashosti,jirani zake pia(wa kike)

Dunia ingekua na wanawake pekee kila siku ingekuwa busy day kwa ajili ya kusuntana kununiana ugomvi ugomvi kisa wivu wa maendeleo
Ingekuwa vipi kama duniani wangekuwa ni mabinti peke yao?
Je wangetembea uchi kwa sababu hakuna wenzao?
Au wangejisitiri! Mitindo ingekuwa ya nini?
Ya kazi gani kama hakuna wanaume duniani?
 
Huyo nae utasikia anasema nataka mwanaume anaejua kuvaa sio ambaye anavaliwa na nguo.

Jinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…