Ni South Africa hiyo ambapo wabongo wanafikiri maisha ni rahisi na kuzamia hukoNchi gani hiyo chemical engineers wanakosa kazi?
Hata hapa Tz wapo wengi tu! Nchi isiyokuwa na viwanda kama Tanganyika, unategemea wafanye kazi wapi?!Nchi gani hiyo chemical engineers wanakosa kazi?
Daah. ..!!
Okay, nimekuelewa Mtanzania.Naitumia tangu nilipo jiunga na JF mwaka 2011,imenipatia marafiki wengi kuliko maadui,imenipatia LIKES na TROPHY za kutosha kuliko binti mmoja anayetumia username ya patrickcharles.
Ni South Africa hiyo ambapo wabongo wanafikiri maisha ni rahisi na kuzamia huko