~Be first to reply~Jamani ni huyu mrembo alikuwa anaitwa Carrythas alitokea kuuteka sana moyo wangu, sijui labda ni ushamba wangu au ni kitu gani kilinifanya nikajisahau. Ila kiukweli uliuteka moyo wangu. Nimekaa sana na maumivu ya moyo ila kwa kweli nimeshindwa. Inawezekana pia huenda unatumia Id hii bado au uloshabadili ila mi bado nakutafuta. Popote ulipo kama unaupata ujumbe huu naomba unijuulishe, japo kwa PM nateseka sana. Jamani, mwenye kujua lolote juu ya huyu mrembo jamani nawaombeni sana msaada wenu.
Wala usinihofie mkuu..namfahamu tu hapa jukwaani. Muulize huyo mzee baba niliyem-Cc hapo juu atakupeleka kwake.
karrythas ni mwalimu mzuri wa kispanish.
Jamani ni huyu mrembo alikuwa anaitwa Carrythas alitokea kuuteka sana moyo wangu, sijui labda ni ushamba wangu au ni kitu gani kilinifanya nikajisahau. Ila kiukweli uliuteka moyo wangu. Nimekaa sana na maumivu ya moyo ila kwa kweli nimeshindwa. Inawezekana pia huenda unatumia Id hii bado au uloshabadili ila mi bado nakutafuta. Popote ulipo kama unaupata ujumbe huu naomba unijuulishe, japo kwa PM nateseka sana. Jamani, mwenye kujua lolote juu ya huyu mrembo jamani nawaombeni sana msaada wenu.
Wewe troublemaker wewe Mimi nna I'd moja tu hii fs sijawahi kuwa na nyingine before[emoji12]Anajiita financial services kwa sasa
Umemkuta wapi?!Baada ya kumtafuta lwa muda mrefu, hatimaye nimempata
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
HayaAlikuwa hayumo humu ila alipata ujumbe na kunikuta kwa Kassim Majaliwa
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]