mambo ya chuo nmeyapotezea na nmeomba page ya fb/insta tuone vp tukusupport kwny biznezz yako ila unakaza.ila yameisha kila la her nmejfunza kitu kuptia wew endelea kuwa na moyo huouo
Sent from my Android phone
Ninachoweza kukushauri tu,usijifanye unanijua sana au ukataka sana kunijua,since we are behind the truth about who we really are . That's all and take chill pillsLa chuo amekataa nmemuulza page yke ya fb/insta nione kama naweza kumsapoti kwny biashar nalo amekaza...muach ana wat wake special wa kuwajib wengin sis na makapuku mzee kwa mfano hapo juu kuna mteja anajuana nae na inaelekea biznezz wanafany ila mm kuomba page ya fb/insta imekuwa ktuko..ndo maisha hya mkuu WABAGUZI na WAPENDELEAJI wapo
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Anikome na ajaribu kujiheshimu. Sasa kama natumia fake ID from no where naanzaje kuanika Acc zangu za Fb na insta. Si ningeweka ID yenye majina yangu binafsi. Akwendreeeew zakeUkute amekufananisha Na mchepuko wake!![emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unataka nipimwe mkojo???
Mtawala sio kiongozi
ata pimwa mkojoWe mbilikimo acha uchochezi
BabeeeMamboo!
DJ sepetu
Ha ha ha ha. We usinizeeshe mieI love you ngoja nikuambie huu usiku baby labda utanielewa
DJ sepetu
duuu...Siwezi kukutajia page yangu,kama ningekuwa nataka si ningeandika jina langu la kweli instead of hili fake one. We mbona hujaandika jina lako na hujaweka Picha zako.
Mfano xav bero simjui hanijui lakini kanifata pm nimemuambia. Sio lazima ununue au ujue biashara yangu. We vipi mzee bab?????? Or else you want something else....
Better mind you own business and leave with mine.
Dume zima unalalamika lalamika,unalia lia hovyo,tusipimane uvumilivu buana weeeee
Ujue nimekuita somewhere hadithi ya vituko tuko imeishaMaserati love nakumiss,sikuoni kule kwetu jaman
wapi huko tena mpenzi,kule bado jaman tunasongaUjue nimekuita somewhere hadithi ya vituko tuko imeisha