Ndugu yangu..kuelezea mambo ya ndani ya mpenzi wako kama hayo hata kama umeachana naye sio ustaarabu hata kidogo. Tatizo lenu vijana wa leo hamna utu ndani ya mioyo yenu, mnaendeshwa na tamaa tu na kumuona mwenzio kama ni kifaa cha kutumia na ndio maana hata huoni dhamani yake..
Badala ya kumuone huruma na kufikiria ni kwa jinsi gani unaweza kumsaidia wewe unaanza kutangaza mapungufu yake?? shame on u !!!! halafu mnaajiita watoto wa kidigital? Shame on u!
Jirekebishe ndugu yangu!!! onyesha utu walau kuwe na tofauti kati ya wanyama na binadamu...