KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,146
- 40,912
Kweli duniani kuna mambo..na ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...nilipata kuwa na mrembo mmoja kipindi cha nyuma, kwa kweli muonekano wake kwa nje unaficha mengi ya ndani..wakati namfukuzia alinisumbua sana..mtu mzima nikapiga moyo konde si unajua nothing come easy...hatimaye siku ikafika mtoto mpaka Getto..si unajua mambo ya first day...binti alilisisitiza sana kuwa hawezi kulala pale..mzee nikamwambia haina noma..muda si muda gemu likaanza...Gemu halikuwa la kitoto baada ya kumaliza wote tukawa hoi..mzee nikajibanza kwenye sofa..mrembo nikamuacha on bed..kuja kushtuka morning.....Mara naona mrembo analia ooh! Baby nisamehe nikamuliza kwani kuna nini?..oooh! Baby huu ndio ugonjwa wangu mkubwa...kuja kucheki alipolala nikakuta bahari ya mikojo...Nilishangaa sana..Duh!..kweli duniani kuna mambo.
Pole mhanga mwenzangu..
.
.
.
.
.
hata mie limenikuta kaka,kuna demu mmoja alinitembelea tukakorofishana siku moja,nikaenda kulewa na yeye akaenda kulewa badae akanikuta geto nshalala. tukalala fresh,asubuhi nakuta kojo...nikajua mh mtu mzima nimeliachia niaje?nikajigusa chupi kavu nikajua mrembo kaharibu shuguli sema nikampotezea
Wengi tu.Heeeeeeeeee!!
Kumbe hujamsamehe!!!!
mtaani ushawaambia wangapi?
Hayawezi kuendelea coz sina uwezo wa kugharamia pampas kila sikumahusiano yaliendelea au
Nimempa msaadaumemsaidiaje
Nimemtimuaumemsaidiaje
Wachache sana.lakini pia wapo wanaume vikojozi pia teheheh
Hapo kwenye red, nimependa hiyo hyperbole yako!
Muwe mnawatibu au kuwapa ushauri nini wafanye,,,,, kuja kuwananga hapa haisaidii!!!!!!!!!!!
Hayawezi kuendelea coz sina uwezo wa kugharamia pampas kila siku