Mrembo anawasalimia

Dah...hawa ndo wanasababishaga dhambi za ufirauni astaghafi............
 
Hivi hizi picha za watu huwa mnazipata wapi? Huyu dada anaonekana ni dada wa kawaida kabisa wa "nyumbani" tena picha yake hii kama sijakosea alipiga juzi kwenye sikukuu ya pasaka, sio mdada wa mjini wala bishoo maskini
 
bishoo maskini...hahahaha
 
Mie comments tu. Hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…