miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
kama mbara usimsumbue kaka wa watu pmmamy nlisahau kukwambia kuwa anamtaka mpwani mwenzie sie wa bara tupite hivi!
kama mbara usimsumbue kaka wa watu pmmamy nlisahau kukwambia kuwa anamtaka mpwani mwenzie sie wa bara tupite hivi!
sema jamaa ana masharti magumu anaonesha freemasonry nn?mamy nlisahau kukwambia kuwa anamtaka mpwani mwenzie sie wa bara tupite hivi!
Mie napita njia maana nanenepa kila siku nae anataka mwembamba kiasi
hapana nahitaji kile ambacho naona kitanifaasema jamaa ana masharti magumu anaonesha freemasonry nn?