Mrema yupo habari maelezo


we bado virgin kwenye forum..uko stuck kwenye STUPIDITY. chadema walisema hawamtambui Raisi, mara wanamtambua...vigegeu wakubwa hawana msimam..bungeni hawaongei wanakimbia..wanataka sympathy za watu kama egypt, tunisia...tanzanians dont give a dammn...chadema ni chama cha mbowe na slaa.....zito nae anataka shares......wataanza kugombea ruzuku wao pamoja na ndesamburo
 
Kuna watu watamfuata "Dr." Mrema hadi jalalani, sijui akiamua kwenda msalani.
 
Mrema kufanya press conference haitazima azma ya wananchi kuondowa viroboto nchini. Nchi imeoza na tunajua ni nguvu gani inampeleka pale ingawa na haki kama raia wengine kuitisha press conference.
Moto huu hauzimishwi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…