Mrema: Serikali imeshindwa, ijiuzulu

Mrema: Serikali imeshindwa, ijiuzulu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,202
Reaction score
162,760
Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo,Augustin Mrema amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania Jumatano kuwa serikali imeshindwa na ijiuzulu.

Asema imepoteza muelekeo kushughulikia utawala,udini

Ashangaa wanaomng'ang'nia kawamba badala ya serikali

Amsifu Spika Anne Makinda,asema ndio kamalkia ketu

Kuhusu kufeli vibaya kwa wanafunzi katika mtihani wa kidato cha nne,mh Mrema katika mahojiano na gazeti hilo alijibu kama ifuatavyo na hapa namnukuu
"Hili la matokeo ya kidato cha nne ni aibu,kashifa,fedheha na ni janga la kitaifa.Nawashangaa wanaomng'ang'ania waziri Kawambwa ajiuzulu si yeye tu,bali serikali nzima imeshindwa hivyo inatakiwa ijiuzulu,maana kama ni kumtafuta mchawi basi ni serikali yote ijiuzulu na tuitishe uchaguzi mwingine,tuanze moja kama kweli watanzania imetuuma"

Hiyo ndio kauli ya mh.Mrema kama inavyosomeka katika gazeti la Mtanzania Jumatano la tarehe 27/02/2013.

Ni vigumu kuamini kama kweli matamshi haya kayatoa.

Kwa taarifa zaidi soma mtanzania online la leo Jumatano.
 
kumbe kikombe cha babu kinapunguza uwezo wa kufikiri atuachie jimbo letu cdm akapumzike
 
Q[UQUOTE=Salary Slip;5800355]Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo,Augustin Mrema amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania Jumatano kuwa serikali imeshindwa na ijiuzulu.

Asema imepoteza muelekeo kushughulikia utawala,udini

Ashangaa wanaomng'ang'nia kawamba badala ya serikali

Amsifu Spika Anne Makinda,asema ndio kamalaika ketu

Kuhusu kufeli vibaya kwa wanafunzi katika mtihani wa kidato cha nne,mh Mrema katika mahojiano na gazeti hilo alijibu kama ifuatavyo na hapa namnukuu
"Hili la matokeo ya kidato cha nne ni aibu,kashifa,fedheha na ni janga la kitaifa.Nawashangaa wanaomng'ang'ania waziri Kawambwa ajiuzulu si yeye tu,bali serikali nzima imeshindwa hivyo inatakiwa ijiuzulu,maana kama ni kumtafuta mchawi basi ni serikali yote ijiuzulu na tuitishe uchaguzi mwingine,tuanze moja kama kweli watanzania imetuuma"

Hiyo ndio kauli ya mh.Mrema kama inavyosomeka katika gazeti la Mtanzania Jumatano la tarehe 27/02/2013.

Ni vigumu kuamini kama kweli matamshi haya kayatoa.

Kwa taarifa zaidi soma mtanzania online la leo Jumatano.[/QUOTE]O

Mengine yuko sawa kasoro hapo kwa Bi Kiroboto. Hata hivyo huyu mzee ni kibaraka wa maCCM.
 
mrema1.jpg

Masikini Mrema! Kwa nini Serikali haimpeleki nje kwa matibabu? au wameridhika na tiba ya kombe la Babu?
 
Mnataka afe na njaa eeenh, mzee huyu naye sasa apumzike tuuu
 
Hana jipya ndio walewale leo kasema ijiuzuru kesho bungeni zikitolewa hoja zenye maslahi na nchi haungi mkono kisa imetolewa na mpinzani
 
Wakati mwingine inaniwia vigumu kuwaelewa hawa baadhi ya Wanasiasa wetu,
Wanasimamia Upande gani ??

Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo,Augustin Mrema amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania Jumatano kuwa serikali imeshindwa na ijiuzulu.

Asema imepoteza muelekeo kushughulikia utawala,udini

Ashangaa wanaomng'ang'nia kawamba badala ya serikali

Amsifu Spika Anne Makinda,asema ndio kamalkia ketu

Kuhusu kufeli vibaya kwa wanafunzi katika mtihani wa kidato cha nne,mh Mrema katika mahojiano na gazeti hilo alijibu kama ifuatavyo na hapa namnukuu
"Hili la matokeo ya kidato cha nne ni aibu,kashifa,fedheha na ni janga la kitaifa.Nawashangaa wanaomng'ang'ania waziri Kawambwa ajiuzulu si yeye tu,bali serikali nzima imeshindwa hivyo inatakiwa ijiuzulu,maana kama ni kumtafuta mchawi basi ni serikali yote ijiuzulu na tuitishe uchaguzi mwingine,tuanze moja kama kweli watanzania imetuuma"

Hiyo ndio kauli ya mh.Mrema kama inavyosomeka katika gazeti la Mtanzania Jumatano la tarehe 27/02/2013.

Ni vigumu kuamini kama kweli matamshi haya kayatoa.

Kwa taarifa zaidi soma mtanzania online la leo Jumatano.
 
Aakh,mzee wa kiraracha ana miaka hajanikuna lakini hapa ninamwambia "PAMOKO" nadhani umezinduka au kikule wanasema NGASTUKA.
 
Nadhani kikombe cha babu kimeanza kufanya kazi, siamini haya maneno yametoka kwa mzee wa kiraracha. lakini tusishangae akiwekwa hewani ukasikia 'nilinukuliwa vibaya'.
 
Mrema kasema kweli. Hapo hakuna ubishi

Mrema yuko sahihi. CCM has changed Tanzania into a failed State just like Somalia and the Congo(DRC) . Kujiuzulu kwa Serikali ya CCM must be immediate. We can't continue and remain as state under CCM. Just look at what is hapening: Hakuna Maji, Hakuna umeme, hakuna Shule, Polisi na jeshi wako likizo, Tembo wanauwawa kwa kasi ya ajabu isiyo na mfano tangu Uhuru, yanaibiwa mchana kweupe, mipaka iko wazo, Tanzania imejeuka dampo la bidhaa fake, Wizara ya afya Iko IICu just mention anything it's in shambles including comedy in the judiciary and state security. The country is on autopilot kila mtu anasema ku yake and its extremely polarized.
 
Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo,Augustin Mrema amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania Jumatano kuwa serikali imeshindwa na ijiuzulu.

Asema imepoteza muelekeo kushughulikia utawala,udini

Ashangaa wanaomng'ang'nia kawamba badala ya serikali

Amsifu Spika Anne Makinda,asema ndio kamalkia ketu

Kuhusu kufeli vibaya kwa wanafunzi katika mtihani wa kidato cha nne,mh Mrema katika mahojiano na gazeti hilo alijibu kama ifuatavyo na hapa namnukuu
"Hili la matokeo ya kidato cha nne ni aibu,kashifa,fedheha na ni janga la kitaifa.Nawashangaa wanaomng'ang'ania waziri Kawambwa ajiuzulu si yeye tu,bali serikali nzima imeshindwa hivyo inatakiwa ijiuzulu,maana kama ni kumtafuta mchawi basi ni serikali yote ijiuzulu na tuitishe uchaguzi mwingine,tuanze moja kama kweli watanzania imetuuma"

Hiyo ndio kauli ya mh.Mrema kama inavyosomeka katika gazeti la Mtanzania Jumatano la tarehe 27/02/2013.

Ni vigumu kuamini kama kweli matamshi haya kayatoa.

Kwa taarifa zaidi soma mtanzania online la leo Jumatano.

Huyu naye anafikiri sijui kwa kutumia ubongo upi, yeye anajua serikali ni JK tu. Sasa Kawamba sijui Kawambwa si serikali ni kanisa? Nape, hivi Mrema alipata ngapi kwenye somo la CIVICS?
 
Wakati mwingine waandishi wa habari mnakera, mnakosa watu wa kuwahoji mnawatafuta watu ambao hata ukimuuliza leo kwamba jana alisemaje hakumbuki??? Mrema hana tena habari zaidi ya kubwabwaja.
 
Back
Top Bottom