H7N9
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 311
- 80
Jimbo la vunjo ni kati ya majimbo ambayo yanaupinzani wa kweli sio mdomoni kwa wananchi wake tu bali hadi moyoni,mwanasiasa machachari ndugu yetu mbunge wetu,waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu Agustino Lyatonga Mrema mzee wa kiraracha ni kati ya viongozi walioasi CCM na kujiunga na upinzani miaka ile ya tisini na baadae kugombea kiti cha uraisi kupitia NCCR Mageuzi Nini kilimtoa CCM haijulikani hadi Leo au aligusa maslahi ya wakubwa au alienda kinyume na mfumo CCM? hakuna anaejua.Mrema alikuwa kiongozi mchapakazi serikalini na hata kwa wananchi wa jimbo lake alikuwa kivutio kwa wapenda mabadiliko.
Aliikimbia NCCR na kwenda TLP wananchi wa jimbo lake wakamfuata na kuendelea kumwamini kuwa ndiyo mbunge wao wengine ni wachumia tumbo tu kama aloyce kimaro mbunge wa CCM na aliyekuwa mbunge wa NCCR James mbatia ambae bila Agustino wala mjengoni kamwe asingeingia angekuwa anatizama kwenye TV tu. Nani atakae fit katika jimbo hili kama Mrema? jibu ni hakuna toka kupatikana Uhuru wa Tanganyika, Mrema kuwa mbunge hadi Leo ni kwasabu ya kile alichowafanyia wananchi wake wakamwamini na kumpenda pia.makundi nae alikuja hakuna jipya amepotea hakuna alichokifanya zaidi ya kuweka bomba la maji sokoni mwisho wa siku CCM kuchukua jimbo letu kwa goli la mkono.
Leo Mbatia anarudi kwa tiketi ya NCCR Mageuzi chama cha aliyemfundisha siasa ambae ni gwiji la upinzani toka chama dola anakwenda kuwaambia Nini wanavunjo? agenda aliyozoea ya kuwadanganya wanavunjo ni kilimo cha kahawa tu hana jipya ndiyo Sera yake mkuu awadanganyee wale wazee wa kuria kidogo. Mrema ni baba wa upinzani Tanzania hata kama atakwenda kupumzika namtakia afya njema ameitumikia serekali ya chama cha mapinduzi na ametumikia wananchi wa jimbo la Vunjo kwa kuboresha bei ya zao la kahawa na hatimae wananchi kujenga nyumba bora na bila kusahau kwa juhudi zake kajenga gorvement secondary school Mwika na Jengo lako lenye jina la Mrema hall linatukumbusha mbali sana waliosoma pale kwa wakati ule utakumbukwa na tutawakumbusha utawala wa shule ile jina lako liendelee kuwepo katika Jengo lile.