B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Jul 28, 2011 #1 Kuna mbunge wa chadema hapa amesema waziwaz kuwa mrema na cheyo si wapinzani bali ni mawakala wa CCM,kaaz kwelikweli
Kuna mbunge wa chadema hapa amesema waziwaz kuwa mrema na cheyo si wapinzani bali ni mawakala wa CCM,kaaz kwelikweli
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Jul 28, 2011 Thread starter #2 Anaitwa Mheshimiwa CHIKU........anaambiwa ni ,vunjanji wa KANUNI,mama ana mambo huyu
Rugaijamu JF-Expert Member Jul 10, 2010 2,942 1,294 Jul 28, 2011 #3 Safi sana...hivyo hivyo hakuna kufunika kombe,mpaka kieleweke...!