Wadau,
Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.
Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.
Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.
Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????

Mrema - The Fallen Hero! - RIP!
CCM haijui kuwatumia watu kama Mrema they are so open to even mwendawazimu kutambua malengo yao kwa hiyo inakuwa si rahisi kuwapata watu waelewa.Alishasema anaishukuru CCM kwa kumrudisha katika system kwa kuwa watu walishasema Mrema amechoka na kufulia, ngoja alipe fadhila
Wadau,
Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.
Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.
Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.
Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????
Mrema - The Fallen Hero! - RIP!
Huyu Mrema dawa yake ni kumshusha jukwani siku moja labda atajua kumbe Tanzania ya leo sio ile ya mwaka 47. Hajui watanzania tumebaki kama yatima. Wamezoea kuchuma kama shamba la bibi na ule msemo wao chukua chako mapema.
Serikali itambuye kazi inayofanywa na chadema ilikuwa ni kazi yao kutokana na kilio cha wananchi cha siku nyingi. Serikali inatakiwa iwalipe chadema kwa kweli wanafanya kitu ambacho mafanikio yake ni makubwa sana katika jamii yetu, ukilinganisha na hali ya kitabaka iliyopo sasa hivi.
Tunaomba watambue tumezidiwa kunyonywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waadilifu kama wala rushwa, uwizi serikalini, utapeli ambao umechukua nafasi kubwa kama vile kuna shule inafundisha hilo somo, uongo, uonevu kwa raia bila sababu za msingi, kuelimisha raia uhuru walionao na jinsi ya kutumia uhuru huo, kujua matatizo yaliyopo kila upande nk. Wao walijisahau mafisadi wakachua nchi na sisi tumeshindwa kuwavumilia, lazima tuikomboe Tanzania yetu kutoka mikononi mwa mafisadi wakoloni weusi wasikuwa na huruma.
Mungu ibariki chadema, ibariki Tanzania yetu.:israel:
Nafikiri wakati wa kuandika huwa hushirikishi ubongo wako sasa hapa ni yupi mwenye chuki anayepinga maandamano ya wenzake au CDM walioandaa maandamano, kama Chadema wangepinga maandamano ya Mrema tungesema wana chuki sasa ni Mrema anayepinga, jamani hata kama mmelazimishwa kuja kupinga kila kitu mnapoandika angalau mwe na logic basi LOL!!!Hongera kwa kusema ukweli, tunajua CDM wana chuki nawe kwani Uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa CDM wali ililia muda mrefu sana, bunge kwa kutumia busara wakawachinjia baharini. Sasa wamebakia na uwaziri kivuli ambao bungeni hauna meno.
Nafikiri wakati wa kuandika huwa hushirikishi ubongo wako sasa hapa ni yupi mwenye chuki anayepinga maandamano ya wenzake au CDM walioandaa maandamano, kama Chadema wangepinga maandamano ya Mrema tungesema wana chuki sasa ni Mrema anayepinga, jamani hata kama mmelazimishwa kuja kupinga kila kitu mnapoandika angalau mwe na logic basi LOL!!!
Kumbe mnataka kulipwa, njoo ww na CDM yako ntawalipa mie ila mkubaliane na masharti yangu tu