Mrema ni mfano wa viongozi wa sasa wa tanzania, tusitegemee jipya toka kwao. Wamefanya maisha ya watanzani kama mchezo tu, tanzania ya leo ni mbaya kuliko ya nyerere ya 1985, tusiangalie magari tuliyonayo, nyumba, au upatikanaji wa bidhaa madukani, hali ya ichumi ni mbaya sanaaaaa