M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,343 Apr 8, 2025 #1 Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,436 Apr 8, 2025 #2 Ni kama kachanganyikiwa.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,436 Apr 8, 2025 #3 Asikilize madini haya View: https://youtu.be/V6q6B7VOTNw?si=kEcMm1fRbV0_WXYc
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Apr 8, 2025 #4 Unajua ukipika maharage kuna maji ya kwanza, maji ya pili. Ikifikia maji ya tatu ndio unaweka viungo, wale walisoma cuba watanielewa. Sasa huyu viungo vinaandaliwa. Atajikesha.
Unajua ukipika maharage kuna maji ya kwanza, maji ya pili. Ikifikia maji ya tatu ndio unaweka viungo, wale walisoma cuba watanielewa. Sasa huyu viungo vinaandaliwa. Atajikesha.
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Apr 8, 2025 #5 Katiba ni kijitabu tu
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,325 Apr 8, 2025 #6 Halafu Lissu ndio huwa anawatetea eti mnajua kuandika
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,140 Reaction score 127,089 Apr 8, 2025 #7 Makupa said: Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania Click to expand... Atafukuzwa kwa sababu za sheria za cdm, sio kwa utashi wako ww chawa ww ccm.
Makupa said: Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania Click to expand... Atafukuzwa kwa sababu za sheria za cdm, sio kwa utashi wako ww chawa ww ccm.
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,140 Reaction score 127,089 Apr 8, 2025 #8 chiembe said: Halafu Lissu ndio huwa anawatetea eti mnajua kuandika Click to expand... Fuatilia huyo ni chawa mwenzio.
chiembe said: Halafu Lissu ndio huwa anawatetea eti mnajua kuandika Click to expand... Fuatilia huyo ni chawa mwenzio.
Deinstein 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 2,090 Reaction score 3,926 Apr 8, 2025 #9 Sio mara mona ni mara moja.