Mrejesho

Mrejesho

Hapana kaka kuna hizi bukta zina mifuko ningi mingi,kwa kuwa ni nzito niliona zinaweza kusitiri mambo
kumbe zipu nooma.Lkn kwa sasa nimeishajua la kufanya nikaona si vibaya niwajulishe na wadau wachukue tahadhari.

bukta ni ile yenye lastic kiunoni haina zip, au unaweza kuvaa boksa ya cotton imekaa kama bukta, mkaptula wenye zipu bila kitu nduguyangu utakuja kuadhirika, utaingia kukojoa usahau kufunga zip unatembea barabarani kifua mbele wakati mashine iko nje!
 
Aaaah! Te,te,te! Nashukuru kwa ushauri,japokuwa mimi nilishinda nyumbani ila nimejifunza kitu kwamba unaweza kuwa kiburudisho ghafla hapo nyumbani,nitakuwa natumia zenye elastic material.
 
Mada hizi nimetafakari hio dushe kwenye zipu mmmmmh.
wdada vipi siku hizi hata pole hamna? Mtanijembe ikingoka si ni hasara kwa pato la taifa au umesahau kwamba hii kitu kuna watu inawaingizia mapato?
cc😡misschagga
 
Kubwa zima bado zipu zinakubana nahisi hata ukienda haja kubwa huwa unasahau kuchamba ww. Kubanwa na zipu mwisho darasa la 3.
 
wdada vipi siku hizi hata pole hamna? Mtanijembe ikingoka si ni hasara kwa pato la taifa au umesahau kwamba hii kitu kuna watu inawaingizia mapato?
cc😡misschagga

Mapato si mpka uwe na hela na si vijihela,,,,,, jembe likingoka vibrator na dildo zipo
 
Yaani umejitutumua kuandika sredi halafu sredi yenyewe ndio hii...
 
bila hofu nahisi utakua hujatairiwa.............pole sana mkuu kakate io "ngozi"

Hata hivyo inasemekana wanawake wanagurahia zaidi wakijigijigi na watu wenye magov.i na busha eti hutekenyatekenya mapajani na sehemu karibu na puchuchu.
 
so vp mkuu hujapata mchubuko kunako niniliu yako...na vp game lilibuma au ulipiga mashine poa tu
 
Ngoja na mimi niende japan nikalete mdoli hata nikibanwa na zipu wenyewe tuli,binadamu naona mapyoto pyoto mengi.
Mapato si mpka uwe na hela na si vijihela,,,,,, jembe likingoka vibrator na dildo zipo
 
Yaani umejitutumua kuandika sredi halafu sredi yenyewe ndio hii...
Afu na wewe umenaswa na mtego huu ndo maana ukasoma na ukachangia,karibu tena.
 
so vp mkuu hujapata mchubuko kunako niniliu yako...na vp game lilibuma au ulipiga mashine poa tu
Siku hiyo haikuwa ya ratiba ya kupiga mashine,ratiba ikifika kesho yake nitaleta majibu.stay tuned
 
Habari zenu wana MMU wote
Nimeona leo nilete mrejesho wa kile nilichokisoma humu jukwaani na nikaamua kufanyia kazi.
Katika kutembelea jukwaa hili nilisoma mada moja juu ya wanaume kutovaa nguo
zinazobana ikiwa ni pamajo na zile za ndani kwani zinapunguza utendaji kazi sehemu za nyumbani(maswala ya ndoa),
Siku moja nikiwa off nikaamua nivae bukuta yangu tupu bila pichu siku nzima ili nione
uzuri wa jambo hilo.Kweli mwanzo ulikuwa mzuri,sehemu zangu zilijinyoosha barabara na upepo ukawa unapita
ipasavyo.Mambo yaliharibika pale nilipokwenda haja ndogo nilijisaidia vizuri,
sasa wakati wa kufunga zipu,Eee Bwana wee zipu ikakamata ngozi ya jamaa aliyesababisha nifanye mazoezi
nusura niite watu kwa sauti ya yale maumivu. Lakini baadaye nikajikaza kiiume nikaitoa.
Sasa nashauri tunapoleta jambo jema ni vizuri tuambatanishe na athari zinazoweza kujitokeza ili
wadau wachukue tahadhari wanapotekeleza tulichokishauri.Binafsi nimeishalijua hilo kila ninapofanya aka kamchezo nakuwa makini.
Kama kuna mhanga mwingine si lazima awe wa hili naye atupe uzoefu tuchukue taadhari.Nawasilisha.

Haya mavazi haya! Kuna bukta zina zip! Mkuu pole sana!
 
Back
Top Bottom