Mrejesho

Mrejesho

tz2015

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
982
Reaction score
447
Habari zenu wana MMU wote
Nimeona leo nilete mrejesho wa kile nilichokisoma humu jukwaani na nikaamua kufanyia kazi.
Katika kutembelea jukwaa hili nilisoma mada moja juu ya wanaume kutovaa nguo
zinazobana ikiwa ni pamajo na zile za ndani kwani zinapunguza utendaji kazi sehemu za nyumbani(maswala ya ndoa),
Siku moja nikiwa off nikaamua nivae bukuta yangu tupu bila pichu siku nzima ili nione
uzuri wa jambo hilo.Kweli mwanzo ulikuwa mzuri,sehemu zangu zilijinyoosha barabara na upepo ukawa unapita
ipasavyo.Mambo yaliharibika pale nilipokwenda haja ndogo nilijisaidia vizuri,
sasa wakati wa kufunga zipu,Eee Bwana wee zipu ikakamata ngozi ya jamaa aliyesababisha nifanye mazoezi
nusura niite watu kwa sauti ya yale maumivu. Lakini baadaye nikajikaza kiiume nikaitoa.
Sasa nashauri tunapoleta jambo jema ni vizuri tuambatanishe na athari zinazoweza kujitokeza ili
wadau wachukue tahadhari wanapotekeleza tulichokishauri.Binafsi nimeishalijua hilo kila ninapofanya aka kamchezo nakuwa makini.
Kama kuna mhanga mwingine si lazima awe wa hili naye atupe uzoefu tuchukue taadhari.Nawasilisha.
 
Safi sanaaaaaa!

Huu mrejesho ingependeza kama ungevaa lubega kabisa ama basi kanzu fluu kama mavazi yetu kabila la Maasai na Wamang'ati.
 
bila hofu nahisi utakua hujatairiwa.............pole sana mkuu kakate io "ngozi"
 
Ni kweli mkuu ila ningekuwa kituko mtaani maana sijawahi vaa hata kanzu mara moja sembuse lubega,watu wangedhani nina langu jambo.
 
bila hofu nahisi utakua hujatairiwa.............pole sana mkuu kakate io "ngozi"
Nadhani mkuu umedhani wote humu tuna bamia,siyo wengine tuna kitu ndefu kilichobanwa hapa ni ngozi ya pembeni sio kichwani,karibu tuendelee kujadili
 
kwa hiyo wewe ulivaa bukta ya jeans?!!!
Hapana kaka kuna hizi bukta zina mifuko ningi mingi,kwa kuwa ni nzito niliona zinaweza kusitiri mambo
kumbe zipu nooma.Lkn kwa sasa nimeishajua la kufanya nikaona si vibaya niwajulishe na wadau wachukue tahadhari.
 
Back
Top Bottom