miles45 JF-Expert Member Jan 4, 2019 3,468 8,288 Jan 6, 2022 Thread starter #21 TADPOLE said: View attachment 2069865 Click to expand... Hii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi
TADPOLE said: View attachment 2069865 Click to expand... Hii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi
miles45 JF-Expert Member Jan 4, 2019 3,468 8,288 Jan 6, 2022 Thread starter #22 Nigger360 said: Mjombaaa alimpaaa kilaaa ktuu lakini bado kaachwaa tuu,daaaaaa wanawakeee Click to expand... Sijui alikwama wapi
Nigger360 said: Mjombaaa alimpaaa kilaaa ktuu lakini bado kaachwaa tuu,daaaaaa wanawakeee Click to expand... Sijui alikwama wapi
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,280 2,900 Jan 6, 2022 #23 kwamba "...shughuli haina chakula wala vinywaji.." Kwahiyo mkuu vingekuwepo usingeondoka kwenda kuusaka mkate?
kwamba "...shughuli haina chakula wala vinywaji.." Kwahiyo mkuu vingekuwepo usingeondoka kwenda kuusaka mkate?
TADPOLE JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,800 9,041 Jan 6, 2022 #24 miles45 said: Hii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi Click to expand... Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chai
miles45 said: Hii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi Click to expand... Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chai
miles45 JF-Expert Member Jan 4, 2019 3,468 8,288 Jan 6, 2022 Thread starter #26 GREGO said: kwamba "...shughuli haina chakula wala vinywaji.." Kwahiyo mkuu vingekuwepo usingeondoka kwenda kuusaka mkate? Click to expand... noma mkuu
GREGO said: kwamba "...shughuli haina chakula wala vinywaji.." Kwahiyo mkuu vingekuwepo usingeondoka kwenda kuusaka mkate? Click to expand... noma mkuu
miles45 JF-Expert Member Jan 4, 2019 3,468 8,288 Jan 6, 2022 Thread starter #27 TADPOLE said: Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chai Click to expand... True mzee nidanganye kwa faida gani sasa
TADPOLE said: Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chai Click to expand... True mzee nidanganye kwa faida gani sasa
S StudentTeacher JF-Expert Member Jan 30, 2019 3,679 3,719 Jan 7, 2022 #28 miles45 said: Cha ajabu zaidi mwanamke ndio alimlazimisha amuoe kamzalia watoto eti ndio anamkimbia na kumuacha na watoto watatu alafu yeye anaenda kuanza upya maisha na kajamaa fresher .huu si ukuda huu Click to expand... Sio ukuda ni maamuzi yake. Tenda wema pita hivi.
miles45 said: Cha ajabu zaidi mwanamke ndio alimlazimisha amuoe kamzalia watoto eti ndio anamkimbia na kumuacha na watoto watatu alafu yeye anaenda kuanza upya maisha na kajamaa fresher .huu si ukuda huu Click to expand... Sio ukuda ni maamuzi yake. Tenda wema pita hivi.
mpattoh Member Aug 15, 2015 20 40 Jan 7, 2022 #29 Mwanamke ameitwa Dada... Mwanaume ameitwa Kajamaa Hakika wanaume tunadharaulika sana!!