Mrejesho ya ugonjwa unaonisumbua

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
May 4, 2015
1,076
1,976
Kuna siku niliandika kuhusu ugonjwa wa ngozi sehemu za siri nashukuru baadhi yao walinipa mwongozo kuhusu dawa lakini lile tatizo bado linaendelea msaada tafadhari
 
Litaje hilo tatizo
Tatizo langu ni ugonjwa wa ngozi sehemu za siri nishatembea hospital nyingi lakini bado nishatupa gharama nyingi lakini bado kiasi cha kwamba narudia rudia dawa nisaidie ndugu yangu
 
TOA DALILI ZA UGONJWA..SIO KILA MTU ALISOMA POST YAKO YA KWANZA ULIYOLETA JUKWAANI...PIA USIKATE TAMAA UTAPONA KAMA KWELI UMEAMUA KULIWEKA TATIZO MBELE YA WATU WAKUSAIDIE.
 
TOA DALILI ZA UGONJWA..SIO KILA MTU ALISOMA POST YAKO YA KWANZA ULIYOLETA JUKWAANI...PIA USIKATE TAMAA UTAPONA KAMA KWELI UMEAMUA KULIWEKA TATIZO MBELE YA WATU WAKUSAIDIE.
Nawashwa sana alafu nikijikuna ngozi ya juu inatoka na kubaki ya ndani ambayo laini sana kiasi kwamba hata boksa au bukta nikivaa inanichubua
 
POLE SANA..KUWASHWA HUKO NI DALILI YA FUNGUS...FANYA UENDE HOSPITALI WANAYOWEZA KUKUFANYIA CULTURE WATAJUA AINA YA DAWA UNAYOWEZA KUTUMIA EITHER KWA KUPAKA AU HATA KWA KUNYWA ILI KUKABILIANA NA TATIZO HILO...PIA NAHISI INAWEZA KUWA NI UGONJWA WA ZINAA UNAOITWA KWA KISWAHILI PANGUSA...NGOZI HUWA INAKUPUTIKA. NAYO PIA NI FUNGUS.
 
Asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom