Mrejesho WFP kibondo

Mrejesho WFP kibondo

G_Host

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
16
Reaction score
3
Wana jamvi kuna yeyote ambaye kapata mrejesho wa application ya WFP post za Assistant IT Operation officer.
Deadline ilikua tarehe 20 na hivi.. Mwezi wa 12 mwaka jana.
Asanteni.
 
Kuna zile za deadline application ya tarehe 2 January.. Post kama nane hivi nikajua ndo hizo maana ndo hotcake hizo tunazisubiria kwa bashasha.
 
Yeah. Hawa walitangaza hawamu mbili nahisi. Ngoja tusubirie!
 
Kuna zile za deadline application ya tarehe 2 January.. Post kama nane hivi nikajua ndo hizo maana ndo hotcake hizo tunazisubiria kwa bashasha.
mbona nipo kazini tayari....🙁🙁🙁🙁 natania tu
 
Back
Top Bottom