Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu



Unamiaka mingapi ?
 
Nikweli kakaangu unayoyasema usipokuwa makini humu jf inakula kwako
 
Mpaka uingie mtandaoni! unaokoishi hakuna wanawake / wanaume wa kuoana???
 
Humu utapata wenye smartphone na makomputa wakati mtaani hata wasionasimu na wenye tusimu aka twa tochi utawapata
 
Ni PM mkuu inawezekan tukaongea kidgo mm mtt sio tatizo.
 
We tafuta mtu wa kunyang'anya mwanaume kwa umri huo utazeeka tu mama angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…