malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,789
- 4,480
Unigold hiiWakuu nimeleta mrejesho wa nyuzi ya Jana ya vipimo...Kama ilivyo ada Leo asubuh mida ya SAA nne tulikubaliana tukutane tuende Sasa hospital tukahakiki vipimo vya HIV ambavyo tulikua tumeshajipima mwenyewe ambapo majibu kwa mwenzagu yaliku mistar2 mmoja umekolea ktk c na mwingine uko kwenye 1 umefifia
Sasa bas nimemkupa kashafika hospital nusu saaa kabla nkamwabia twende za serikali akagoma akasema hawez kwenda kwingne mihapo nshapata mashaka hapa Kuna kitu,bas tukaingia kwa dokta akatoa bioline kumbuka hapo minataka vipimo vyote bioline na unigold.nkawa makini kuangalia anavotoa vipimo nakuchana ...akaanza mwenzagu akachomwa akapimwa nkafuatia mim
Bas dokta akatuambia subirini nje,lakini Cha ajabu tumesubiria Zaid ya dk25 Tena nkafanya kulazimisha kumwambia dokta tunahara bas akatwita kutupa majibu... Majibu akasema mko negative wote ikabid nivichukua nishuhudie nkakuta kweli negative...Ila akili ikasita kwanin akatae kwenda serikali ang'ang'anie huku
Ikabid nimshawishi kwenda serikalini akakubali kwa mda mrefu kinyonge kwa masharti nimpe hela nkasema so kesi tukaenda kufika serikali nkaulizia nesi nkamuelezea tunataka kupima vipimo vyote unigold na bioline ..Sasa mwenzangu akawa hatulii tulii Mara katoka nje Mara amuulize nes choon wapi,Sasa akawa Kama anamwabia nesi kuwa tumetoka kupima tumekuta negative bed anamwabia haina shida tunapima Tena wasiwasi wako nin bas kupima bioline wote mim nayeye Kisha unigold..Sasa yeye kipimo Cha bioline kikaonyesha mistari2 kwenye c umekolea na kwenye 1 mstar umefifia kwa mbaali
Sasa nesi ikabid aweke damu kwenye unigold napo ikatoka mistar miwili kwenye C umekolea na kwenye T umefifia kwa mbaali,mtu wangu akawa Kama mjanjamjanja hivi nes akasema huyu huyo kwenye matazamia inaonekana anatumia dozi mda mrefu au kapata maambukizi hivi karibuni...bas tukatoka tukaondoka nkamuacha mwenzangu mahala aende kwao minkarud kwa manes kutaka kujua
Sasa manes wakanambia wakat upo ndan mwenzio anaulizia chooni babes alikua nje kafuta unigold nes akanambia mwenzagu alikua ananiita kwa ishara ya mkono kuonyesha kitu nes akakataa akasema huyo mwenzio nlikua nshamshutikia tangu anahojihoji maswali kabla yakupima kuwa Mara sjui ashapima huko tumekota
Wakuu Sasa bas huyo daktar wahospital ya private tulioenda akatoa majibu negative Tena baada yakusubiria Zaid ya dk30 kumbuka nahiyo hospital nlimkuta mwenzangu ashafika mda mrefu je hakupewa hongo kweli?naambatanisha chini majibu yake ya hospital ya pili tulikoendaView attachment 2055630
View attachment 2055628
View attachment 2055635
Mkuu sijamla hata kumla huyu Ila alikua ananiforce Sana nkamle minikagoma nkamwambia Hadi tukachek HIV kwanza ndo majibu hayoWakati unamtumia text za "I love you" hukutushirikisha lakini.
Anyway, kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako...
Sikushauri kumuacha huyo demu kisa HIV, watu wanaishi postive na negative na wanatengeneza familia vizuri tu. Cha muhimu kuwa nae karibu aendelee na dose akiwa na kiwango cha undetected viral load unakula mzigo nyama kwa nyama bila tashwishwi. YOU WILL THANK ME LATERUnigold hiiView attachment 2055637
Hapo no way she is positive nae sasa anafail kama anajijua hali yake why anakubali harakati zote hizo boraa angekwambia tu ukweli au kama alishindwa kukwambia ukweli angekataa tu kupima,na huko private alicheza mchezo na daktari thuz why imechukua muda na majibu mmepewa hayo usimtenge nduguu endelea kumfariji.Unigold majibuView attachment 2055640
Nimecheka Sana hii comentWakati unamtumia text za "I love you" hukutushirikisha lakini.
Anyway, kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako...
Wee namuacha kwanin akazanie nimle akat nimuathirikaSikushauri kumuacha huyo demu kisa HIV, watu wanaishi postive na negative na wanatengeneza familia vizuri tu. Cha muhimu kuwa nae karibu aendelee na dose akiwa na kiwango cha undetected viral load unakula mzigo nyama kwa nyama bila tashwishwi. YOU WILL THANK ME LATER
View attachment 2055646
Kama alikutafuta kwa ajili ya ngono na sio mapenzi, mpitishe kushoto tu.Wee namuacha kwanin akazanie nimle akat nimuathirika
Aaa kwa stail hii yakutaka kuniua mzee akati anajijua tayar anao why atake nikamle..huyu niwakutenga nakukaa nae mbali ni anaroho mbayaHapo no way she is positive nae sasa anafail kama anajijua hali yake why anakubali harakati zote hizo boraa angekwambia tu ukweli au kama alishindwa kukwambia ukweli angekataa tu kupima,na huko private alicheza mchezo na daktari thuz why imechukua muda na majibu mmepewa hayo usimtenge nduguu endelea kumfariji.
Alinitafuta wakat wa ngono maana tunaziad ya mwaka na miez sita tangu tuachaneKama alikutafuta kwa ajili ya ngono na sio mapenzi, mpitishe kushoto tu.
Tumia kinga mwenzio anakutaman mtoe hamu ili asikusumbueWee namuacha kwanin akazanie nimle akat nimuathirika
Kuna cha kujifunza hapa ndo maaana me huwa sipendi issue za kurudiaana kabisa huwa zina mengi ndo kama ivo kaja positive ungekuwa wa kukurupuka tayar ingekuwa imekuathiri.Alinitafuta wakat wa ngono maana tunaziad ya mwaka na miez sita tangu tuachane
Mtachezewa sana akiri na wazungu nyie wanadamu mliokana kabisa kutumia akiri zenu.Wakuu nimeleta mrejesho wa nyuzi ya Jana ya vipimo...Kama ilivyo ada Leo asubuh mida ya SAA nne tulikubaliana tukutane tuende Sasa hospital tukahakiki vipimo vya HIV ambavyo tulikua tumeshajipima mwenyewe ambapo majibu kwa mwenzagu yaliku mistar2 mmoja umekolea ktk c na mwingine uko kwenye 1 umefifia