Mrejesho wa mzee wa kasumba.

Mrejesho wa mzee wa kasumba.

Watu na bahati zenu..

Mimi napangwaga na wazee, sijui nimewakosea nini wakata tiketi wa mabasi...
 
Watu na bahati zenu..

Mimi napangwaga na wazee, sijui nimewakosea nini wakata tiketi wa mabasi...
Usiombe ukae siti moja mama lenye mtoto anaelialia muda wote au ukae na babu wa kimasai anaekula ugoro.

Maendeleo hayana chama
 
Hahaha nljua tu hamuezi kuwahi gari mkuu izo shoo ni tamu hatare ...unaweza samehe nauli ya ndege ivi ivi hongera hujatoa shoo mbovu...
 
Weee acha tu dada yangu
Hata mi ilishanitokea hio kwenye safari ya dar- mwanza ndani ya dar lux nmekaa na mtoto mkali alikua anaenda chuo saut, mwanzo wa safari baada ya salamu kila mtu alikua anajifanya bubu yupo bize na simu yake ila baada ya kuiacha Moro ooohhhh naomba niishie tu hapa nisiendelee.
Ila kwa kifupi mabinti wa siku hizi wamekua wepesi mno tena hawa walipo chuo ndio balaa kabisaaaa.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
VYUONI KUMEKUWA NI ZAO LA MAKAHABA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom