Mrejesho wa kibabe, sihami JF

Nashukuru, wala haishi kwa hofu yani ndo suruhu ishapatikana hivo sahv aman tu. Ila siachi kukaza mzee!
 
Usisahau makofi yasitoke kabisa akilini mwako walau unamkosa kwa makusudi. Lazma uwe na sura mbili ukali na upole. Ukiweka upole kutwa inakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…