Mrejesho: ulinitesa sana sababu nilikupenda.

Mr Bean

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
206
Reaction score
178
habari wakuu,

leo jioni niliweka thread kuhusu ex girlfriend wangu ambae nilimpenda sana ila licha ya mapenzi yangu kwake alinitesa sana na kuniacha mwishowe.

(kwa ambae hajaisoma, link hii hapa chini)
Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

nimeamua kuleta mrejesho huu kwa sababu nimepokea simu yake tena saa 2 usiku na kuanza kuniambia kwamba yeye anatumia Jamii Forums na ameuona uzi nliouweka ukielezea mahusiano yetu ya zamani.

Ameniambia amesikitishwa sana na kitendo hicho nlichokifanya, ameniambia japo niliyoyasema ni ya kweli na yalitokea ila haikua busara kwa mie kuandika humu kwenye mtandao.

Nilikubali kwamba ni kweli nimefanya vibaya kuanika humu jukwaani, nikamuomba msamaha kwa kufanya hivyo. Akaniambia kuwa hawezi nisamehe mpaka nikija kumwomba msamaha huku jukwaani. Anasema nimemdhalilisha jukwaani na hivyo msamaha niuombe huku huku jukwaani.

Hivyo basi mimi kama Mr Bean , naomba msamaha kwa kuweka hadharani mahusiano yetu mie na wewe. haikua busara na najutia uamuzi wangu. natumai utani samehe.
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
we jamaa limeyumba kama bwana Deo

uko nyuma ya id fake, yeye pia asa amekwazika na nini? ikiwa wewe na yeye ndo mnafahamiana

aya umeomba msamaha ili upewe nini hasa ikiwa usha sema humuitaji tena
 
nimeona ni kweli sio busara kuleta habari zake jukwaani. ndio maana imebidi nijishushe
 
habari wakuu,

leo jioni niliweka thread kuhusu ex girlfriend wangu ambae nilimpenda sana ila licha ya mapenzi yangu kwake alinitesa sana na kuniacha mwishowe.

(kwa ambae hajaisoma, link hii hapa chini)
Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

nimeamua kuleta mrejesho huu kwa sababu nimepokea simu yake tena saa 2 usiku na kuanza kuniambia kwamba yeye anatumia Jamii Forums na ameuona uzi nliouweka ukielezea mahusiano yetu ya zamani.

Ameniambia amesikitishwa sana na kitendo hicho nlichokifanya, ameniambia japo niliyoyasema ni ya kweli na yalitokea ila haikua busara kwa mie kuandika humu kwenye mtandao.

Nilikubali kwamba ni kweli nimefanya vibaya kuanika humu jukwaani, nikamuomba msamaha kwa kufanya hivyo. Akaniambia kuwa hawezi nisamehe mpaka nikija kumwomba msamaha huku jukwaani. Anasema nimemdhalilisha jukwaani na hivyo msamaha niuombe huku huku jukwaani.

Hivyo basi mimi kama Mr Bean , naomba msamaha kwa kuweka hadharani mahusiano yetu mie na wewe. haikua busara na najutia uamuzi wangu. natumai utani samehe.
Da fuk man. Realy? Kweli ex wako anakuendesha namna hii man? Kwani ungekaa kimya au ungemwambia ulikuwa unatafuta ushauri kuna shidah gani?
Dont be stupid, onyesha msimamo, ww wa kiume bwana.
 
Hivi we ni Mwanaume kweli,.. ?.. Sidhan kama Unaweza Kuhandle vitu vigumu katika Maisha

Ex wako halafu bado anakuambia Uombe msamaha na ww unaomba Et kisa Yupo JF au umepigwa tena Kofi

Maana Thread zako 99% ni za Uongo
 
nimeona ni kweli sio busara kuleta habari zake jukwaani. ndio maana imebidi nijishushe
sasa usipoleta visa kama ivi kwetu nasi tujifunze unataka nani alete

mwambie aache tamaa, nawe ndio maana alikuzaba vibao maana umelegea mno mkuu
 
duuh, nitajitahidi kuwa mkatili mkuu.
 
Back
Top Bottom