Mrejesho tiba ya mkojo

Mi nilikuwa nakunywa ninaobarikiwa kumaliza lakini mwingi kiasi cha kikombe kidogo. Nilinunua magi yangu zile za kuogea nikawa naisafisha alfajiri nakinga koja nanywa mwingine nasukutua na kupaka uso kupunguza hila za mahasidi.
Mmh! Acha ushirikina ndg.
 
Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Hats Mimi Nina mashaka na hill .otherwise sins kinyaa!
 
huo mkojo veep alafu umeamka na hang over ya konyagi
Unatakiwa kunywa maji mengi mchana na jioni kusafisha kibofu, utatoka mkojo mweupe usio na harufu Kali. Kipindi hicho cha Dozi natumai utaweka pembeni kama siyo kuacha hizo konyagi mkuu
 
Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Wakati tunasubiri majibu ya kitaalamu , mi kwa ufahamu wangu mdogo tu ni kwamba ule mkojo umaingia tumboni ambako kuna Kemikali nyingi ikiwemo Acid al maarufu maji ya betrii ambako hivyo vimelea vya magonjwa vitauliwa kabla ya kufika kwenye utumbo mwembamba huko dawa iliyoko kwenye mkojo itafyonzwa na Utumbo Mdogo(absorption) ili kuipeleka kwenye Damu tayari kwa kusambazwa sehemu zenye matatizo.
 
Mimi nilisha wahi kuweka Thread inayohusu Tiba ya Mkojo wako mwenyewe unatibu Maradhi mengi tu. Kwa kifupi Mkojo wako mwenyewe ni dawa ya maradhi mengi lakini watu wengi hawajuwi.
 
Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe![emoji23]
 
Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Swali zuri, naomba nijibu kwa kifupi japo si tabibu.
Wataalam wanashauri ikiwa unamashaka na afya yako ni bora ukafanya kipimo cha mkojo ili kujiridhisha kabla ya kuanza hiyo tiba.
Pili hutakiwi kutumia kilevi au kinywaji chenye kemikali za viwandani zaidi ya maji au juice ya matunda.
Tatu epuka kukutana kimwili na michepuko uwapo kwenye dozi yaweza kusababishia madhara mengine kwani waweza fyonza majimaji yenye vimelea vya maradhi toka kwa mwenza...
Mengine wataalam wataongezea
 
Nilivyo na Kinyaa naweza kutapika mpaka nikalazwa
 
Yaani we Jimmy utaendelea kuteseka na maradhi ukiogopa najisi, tiba haina najisi hujaumwa ndugu subiri yakikusibu hata ma** utang'ata .
 
Yaani we Jimmy utaendelea kuteseka na maradhi ukiogopa najisi, tiba haina najisi hujaumwa ndugu subiri yakikusibu hata ma** utang'ata ukiambiwa ni dawa .
 
Najisi ni mkojo wa binadamu tu? Google matumizi ya mkojo wa ngamia ni akina nani waliambiwa wanywe mkojo wa ngamia, kwanini waliambiwa waunywe na waliambiwa na nani? Nipe jibu ndugu yangu katika imani, ninachopenda mimi daima tunafundishana na hata tukibishana mwisho muafaka hupatikana.
 
Kwanza ujuwe neno najisi ndio kisha uje hapa kumlaumu huyo Bibie.@SWEET RIZIKI Najsi kutumia kama tiba haijakatazwa katika Dini ya Kiislam. Imekatazwa kitu kinacho itwa Haramu kama nyama ya Nguruwe,Pombe,na damu. Neno Najisi kwa lugha ya kiarabu kwa lugha ya kiswahili ni uchafu na mkojo una uchafu mdogo kuliko tiba, lakini mkojo wako wa Asubuhi ni Tiba ya kila maradhi hata kama kuna Daktari humu ndani aje na elimu yake ya U-Daktari aje kunipinga ninawakaribisha Ma-Daktari mabingwa waje kunipinga humu ndani kuhusu Tiba ya Mkojo wako wa Asubuhi kabla ya kula kitu.
 
vipi nasikia kama unataka kumwacha mpenzi mwenye visa umpendaye na umeshindwa kabisa eti mkojo wa asubuhi unasaidia kumsahau kabisa na kuweza ku move on bilashida moyo mweupe na utamsahau mazima,jeh hili ni kweli au figisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…