Kuna tatizo mahala upande wa jamaa,
Yaani haiwezekani from no where usimguse mke wako na unaulizwa husemi tatizo.
Mtu anuke halafu akusumbue hivyo usimwambie? Haiingii akilinii.
Na wasipo zungumza wanatengeneza tatizo lingine.
Mabadiriko ya harufu ya K yakitokea muhusika lazima ujue.
Binafsi nina utaratibu kila ninapoamka asubuhi lazima nicheck huku kwa bibi kumeamkaje. Kuna siku nliamka asubuhi kujicheck nakuta ile harufu niloizoea imebadirika. Nilienda hospital chap nikaambiwa nina maambukizi ya bakteri. Nilipewa dawa ile smell ilipotea sijawahi kuihisi hadi leo.
Ina maana baada ya kutafta ndoa kwa ugumu namna ile mwamba nae amekata huduma ya joystick😂😂😂!Kwakweli bado na mpaka sasa sijui ana mpango gani yani ndoa ni ngumu sana basi tu Kama ningejuaga mapema nisingeolewa
Kabisakwamba Kuna Moja mbili tatu huku unamwangalia usoni lakini unakaa mkao wa Jet Lee maanake anaweza kukurushia chochote kilicho Mkononi au karibu yake
Kwa mke ni lazima umwambie kwa lugha isiyokwaza ili ajirekebisheadui namba moja wa kukata mzuka wa sex kwa mwanaume, ni harufi ya uchi wa KE, hiyo harufu iko so disgusting, na hapo demu anakua king'ang'anizi mpaka kero
na mwanaume hatosema hata siku moja, maana hata mzuka wa kumchana huna kabisa,
Hizo huduma zinapatikana kweli my wanguShoga angu hapo kuna ma3 kama sio ma4
1. Yuko na penzi jipya huko nje na linafanya vizuri kwa sasa
2. Amekukinai (pengine umebweteka, umepoa, mashsham huna tena au udambu udambu hakuna )
3. Ameenza michezo mibaya (kapewa jicho huko nje )
4. Yuko na stress zake(ila sidhani😅😅)
Fanya kuchunguza, mtoto wa kike play smart, badilisha mbinu, au hujui power of P**sy
Ila pia mpe muda
NB: ni kwa uelewa wangu mdogo tu shoga angu me sijaolewa syajui ya ndoani😅😅
Joanah njoo utoe ushauri
Hivi ilitafutwa kwa ugumu?Ina maana baada ya kutafta ndoa kwa ugumu namna ile mwamba nae amekata huduma ya joystick😂😂😂!
Kweli ndoa sio sherehe tu😂
Mchepuko namwambia ukweli tu sembuse mke wangu wa ndoa! Ni suala la lugha isiyokwaza kihisia itumike, wanawake wanapenda sana kubembelezwa hasa lonapokuja suala la kutianaWewe unazungumzia madem uliowaokota huko kwanini wasinuke? Acha kuokota okota hovyo kama utakutana nao wanaonuka.
Ukiwa na mke ananuka utakaa kimya humwambii?
Ndoa hazipatikani kizembe sikuhizi 😂😂😂Hivi ilitafutwa kwa ugumu?
Hamna ugumu wowote mnacomplicate tu😀Ndoa hazipatikani kizembe sikuhizi 😂😂😂
Ukiwa na ndoa huwezi kuona struggles za wasio na ndoa wakisaka kuwa Mrs fulaniHamna ugumu wowote mnacomplicate tu😀
Kuna wakati wanaume wanakuwa na stress kwa sbabu fulani. Hawezi kukuambia hilo linaweza kumfanya asitamani mwanamke yeyote kimapenzi. Subiri tu atakaa sawaKwakweli bado na mpaka sasa sijui ana mpango gani yani ndoa ni ngumu sana basi tu Kama ningejuaga mapema nisingeolewa
Sio kweli.Ukiwa na ndoa huwezi kuona struggles za wasio na ndoa wakisaka kuwa Mrs fulani
Vipi matumizi ya mdomo wako, uko vizuri au unaropokwa tu? Mi nahisi kuna kitu alikuwa anakilalamikia huyo bwana ila ukawa unakipuuza.Unasema tu usiombe yakukute mpaka nimekuja kuomba ushauri huku ni kwamba naipenda ndoa yangu natafuta amani Kama ningekuwa nataka kuchepuka ningeshachepuka Wala nisingeomba ushauri huyu ni mme wangu wa ndoa hamna kitu kinakera Kama kuhangaika na mtu ambaye hatoi ushirikiano Kama angekuwa na tatzo au Mimi ningekuwa na shida ni vizuri angesema ili tutatue tatzo kwa pamoja Ila yupo kimya haoneshi hata kuwa serious wanati mwingine nawaza labda anafanya makusudi inakera sana kuwaza matatizo ya mtu mzima mimi siyo Mungu mpaka nijue ana shida gani ndomana nimekata tamaa sababu inakera
Watu wanazitafuta ndoa acha kabisa mkuu.Sio kweli.
Hao wanaostruggle wana tatizo tena la wazi na hawajijui.
Mimi nikiachika leo kesho kutwa naolewa tena mume nitampa kwenye uzi huu huu.
Kazi itakuwa kuifanya hiyo ndoa idumu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa kuropokwaa mwanamke si kawaidaa mwanaume rijalii mwanamke hata aropokwe siku nzima usiku akilowaaa unawekaaa vya kutoshaaVipi matumizi ya mdomo wako, uko vizuri au unaropokwa tu?
Ni muda mrefu sana sijakutana na mdadq anayetaka kuolewa na hapati mume.Watu wanazitafuta ndoa acha kabisa mkuu.
Kwan ndoa ni tendo la ndoa tu?UNAKULA VIZURI,UNALALA VIZURI SHIDA IKO WAPI?!NAAMINI MANENO YA BIBLIA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI ,ANGEKUWA ANAKUFANYA HALAFU NYUMBANI KUNA SHIDA SHIDA LABDA HAMLI VIZURI, WATOTO HAWASOMI ,HAWAPATI MAHITAJI YAO PIA UNGELALAMIKA NYIE NI VIUMBE WA AJABU SANA AISEEEEUnasema tu usiombe yakukute mpaka nimekuja kuomba ushauri huku ni kwamba naipenda ndoa yangu natafuta amani Kama ningekuwa nataka kuchepuka ningeshachepuka Wala nisingeomba ushauri huyu ni mme wangu wa ndoa hamna kitu kinakera Kama kuhangaika na mtu ambaye hatoi ushirikiano Kama angekuwa na tatzo au Mimi ningekuwa na shida ni vizuri angesema ili tutatue tatzo kwa pamoja Ila yupo kimya haoneshi hata kuwa serious wanati mwingine nawaza labda anafanya makusudi inakera sana kuwaza matatizo ya mtu mzima mimi siyo Mungu mpaka nijue ana shida gani ndomana nimekata tamaa sababu inakera