miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Huyo hana nguvu za kiume.Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana. Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea. Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake
Kwa hiyo tangu kipindi kile mpaka sasa bado mume wako hajakupa haki ya ndoa?Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana. Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea. Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwachepuka tu, achana nae
Sina harufu Wala tatizo lolote nipo tu vizuri alafu pia hanaga kinyaa maana kipindi tunafanya kuwa alikuwa anapiga deki kila sehemu Mimi kilichobaki sahivi nahisi tu Kuna mtu kamloga maana nishajikatia tamaaLabda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Sasa kama ana harufu si angelishamwambia halafu mwanamke hata anuke uchi vipi mwenyewe anajiona yupo kawaid tuLabda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Masikini mnapenda sana michakato, Matajiri hawana hamu ya ndoa muda wote wanawaza miradi Yao weweunaanza kuwasogelea?Mbona hio inapunguza mwili pia mwambie aichakate kwa sana!
Kwakweli bado na mpaka sasa sijui ana mpango gani yani ndoa ni ngumu sana basi tu Kama ningejuaga mapema nisingeolewaKwa hiyo tangu kipindi kile mpaka sasa bado mume wako hajakupa haki ya ndoa?
dada achana nae me nipo teyal kukupokea hautakiwi kuteseka katika dunia ambayo unaish mara moja tu.Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake