Mrejesho: Nitamtokeaje huyu msichana?

Unaumiza kichwa alafu unakuja kuta wenzio wanamla kama peremende wala hawapati shida. Noti ya 10,000 akishaiona chupi inakua kubwa inadondoka [emoji23][emoji23]
HAahaaaa mbavu zangu mie!!![emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mkuu hizo jitihada ukizihamishia kwenye kutafuta pesaaa!!! Utakua Dangote soon
 
chagua mwenyewe hapa unataka umtokeaje kijini au kichawi? nikuunganishe fasta mkuu
 
Unaumiza kichwa alafu unakuja kuta wenzio wanamla kama peremende wala hawapati shida. Noti ya 10,000 akishaiona chupi inakua kubwa inadondoka [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] hapo kwenye hilo vazi ambalo msimbazi ukionekana linaongezeka ukubwa...
 
Mtumie sasa pesa kwa njia ya mtandao wake(tigo, voda, airtel, nk) tuma laki moja uone maajabu
 
Usijali mkuu zidi kuomba mungu mana muda mwingine mapenzi huwa sawa na kutia mkono kizani mana unaweza jua umekula kumbe umeliwa.
hilo nalo neno maana unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana
 
Mkuu hizo jitihada ukizihamishia kwenye kutafuta pesaaa!!! Utakua Dangote soon
Paprika yaani mindio niko hivyo hata kwenye maisha mengine ya utafutaji hua sipendi kitu kinisumbue akili yangu hua naona km nimebebamzigo kichwani ambao unanifanya nishindwe kufanya jambo jingine lolote ndio maana napendaga nimalizage fwasta
 
Hongera mkuu... Endelea hivyo hivyo
 
Inasikitisha sana...

Omba jamvi mapema kabla wenzio hawajawahi...

Cc: mahondaw

Yeah.. nakumbuka mzee wangu those days nimepata job alikua akiniasa sana na baadhi ya misemo mmoja ukiwa TOO LATE LEFT ME BEHIND ndo nilihusianisha na comment yako Smart911 love naona walau ka picha

NB: Enyi wavulana wa jf nawashauri tu muwe mnawasilisna na STUNTER kwa mambo kama hayo
kila siku anawapa mbinu na maujanja ya chamani huko Kiumeni mnamuangushaa

cc Smart911u
 
Jana wakati naomba ushauri ndio nilikua natafakari na nilisha andaa barua so baada kupata maoni ya wadaundio nikaandaa kimemo jioni nikampatia
Barua zama hizi za dijitali mkuu?,au mko nanjilinji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…