Habari zenu wana MMU,
Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,
Ilisema;
Natafuta mpenzi
Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac.
Ahsanteni sana.