babamwenyenyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,178
- 6,004
mkuu hapana aisee ila jamaa walimtenda vibaya aiseee
Hahaha haya mkuu
mkuu hapana aisee ila jamaa walimtenda vibaya aiseee
Safi sana Mke....Mke ana akili sana....Wewe ni Poyoyo
kwahiyoUkute waliokuponda wanaishi kwa wazazi???
Jamani tunaishi kusaidiana na kila mtu anajua bajeti zake hata kama ni kulipiwa na kampuni hotelini ni gharama ndo maana tunafikiaga kwa marafiki.
Kwa wadada tuu ukija mwanza ukaona vip njo kwangu tutakula utakachokikuta hata kama ni dagaa. Maisha ni kusaidiana, who knows? Kwa wakaka hapana staki tamaa
Una ROHO MBAYA!
Mimi napenda kufikia hotel hata kama nina ndugu wa damu ili niwe huru