Mrejesho: Msaada nimeokota kitu sikijui part2

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,237
3,855
Habari zenu wadau hapa JF,

Jana nilitoa uzi unasema;

Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua
lakini sijapata jibu, sahihi maana kila mtu anakua sirious na utani tu. Tumekua tukiona kua JamiiForums ni sehemu pekee ya kutatua matatizo lakini siku hizi wamekuemo baadhi ya watu sijui utoto.

Kama haukijui kitu achia watu wengine tafadhali usiingize utani, kuna baadhi mlinishauri niingie google nimeingia bila mafanikio.

Nimekipiga picha upya

Kina namba HAC 3753V008

642c5df89bdac38a7e7c9299bb46478e.jpg

Kinavooneka kikiwa kimefunikwa,
15e0140a2baa3a654c5d96714e615782.jpg

Kwa mbele
c4f2916e461d1496e384a94cf75b40f8.jpg
e5479eeebd7c96357c12aef1b813a7fb.jpg
fc77c671a35fefe7b39bd4d59ff48059.jpg

Kikiwa kimefunuliwa sehem ya namba
0b8263357a32ee1d6dfff82be6c3f381.jpg

ddacf5f7d40f6a9d2104384e5141ddde.jpg
 
Lakini mimi kwa kukichunguza kinaweza kikawa ni moja ya vifaa vinavyowekwa kwenye magari makubwa ya mizigo ili kurekodi mwendo. Kwa maana kwamba kinakuwa na uwezo wa kutuma taarifa wapi lilisimama, limekimbizwa speed ngapi au ni kifaa cha kusoma kiasi cha mafuta kilichotumika. C unajua siku hizi kuna wizi wa mafuta na technologia ndo inakuwa. Sasa yawezekana dereva wa gari kakichezea ili kisifanye kazi kikalegea na kimedondoka
 
Hiyo mkuu ni counter au hourmeter
InawezA kutumika kwenye mashine mbalimbali zikwepo za hospital, viwandani, magenerator standby.

Kazi yake ni kuchukua takwimu ya masaa mashine inakuwa inafanya kazi. Mfano unamashine ambayo unatakiw kuifanyia maintenance kwa interval ya Muda flani hiyo itakusaidia kwa sababu itakuwa inarecord muda ambao imefanya kazi.

Angalia maelezo zaidi katika website yao hao waingereza
 
Hiyo ni hour meter - ina fungwa kwenye machine na inahesabu masaa ambayo machine au mtambo umefanya kazi. machine ikiwaka unahesabu ikizimwa unasimama. Hii ni mechanical runhour na inaonesha ni design ya kizamani haina electronics. huwezi kuitumia kwa machine yeyote inaonesha imekuwa calibrated au imepimiwa kwa mzunguko wa 750 rpm. si kitu cha thamani
 
Ushauri wangu;-
Ningekua mimi nimekiokota na nataka kujua ni kitu gani ningekifungua fungua hizo bolts zote nijue ndani kikoje.

Labda na wewe ujaribu kufanya hivyo. .
Lakini kwa haraka haraka cdhani kama hilo ni bomu . . .
Halifananii kabisa. . .
So kifungue fungue tuonyeshe ndani kikoje labda tutapata jibu
 
Huyu atakuwa hajui hta kusoma. Umeshindwa hata kuelewa " ENGLISH NUMBERING MACHINE "
 
Isije ikawa ni bumu mzee maana hiyo setup ya masaa labda ndio ina count down masaa yaliyo setiwa yakiisha kitu kina lipuka,

Na kinaonekana chuma chake ni very heavy ,

Kwa ushauri nenda kwa office za JWTZ wakakikague mapema maana balaa lisije tokea
 
Habari zenu wadau hapa jf,

Jana nilitoa uzi rakini sijapata jibu sahihi maana kila mtu anakua sirios na utani tu

Tumekua tukiona kua jamii forum ni sehem pekee ya kutatua matatizo rakini siku hizi wamekuemo baadhi ya watu sijui utoto

Kama haukijui kitu achia watu wengine tafadhar usiingize utani, kuna baadhi mlinishauli niingie google nimeingia bila mafanikio.

Nimekipiga picha upya
Kina namba HAC 3753V008

642c5df89bdac38a7e7c9299bb46478e.jpg

Kinavooneka kikiwa kimefunikwa,
15e0140a2baa3a654c5d96714e615782.jpg

Kwa mbele
c4f2916e461d1496e384a94cf75b40f8.jpg
e5479eeebd7c96357c12aef1b813a7fb.jpg
fc77c671a35fefe7b39bd4d59ff48059.jpg

Kikiwa kimefunuliwa sehem ya namba
0b8263357a32ee1d6dfff82be6c3f381.jpg

ddacf5f7d40f6a9d2104384e5141ddde.jpg
hiyo ni mashine ya kuhesabu muda ambayo inafungwa kwenye kifaa ambacho kina uhitaji wa kujua ni muda gani kimetumika .
mfano: Genereta la kuzalisha umeme hutakiwa kufanyiwa matengenezo (services) kila baada ya kuendeshwa (oparate) kwa muda wa masaa kadhaa, kwa magenereta ninayoyajua mimi ya kuzalisha umeme kwenye vyanzo vya maji ni baada ya masaa 250, sasa hicho kifaa kinafungwa kwenye genereta, kila linapowashwa kifaa kinahesabu muda uliotumika kuoparate (cumulatively in terms of hours), kifaa hicho kinakusaidia kujua ni muda gani 'genereta' yako imefanya kazi hivyo kujiandaa na service. kifaa hicho kinafanya kazi sawa kama kile kinachorekodi kilomita kwenye gari, au kinachorekodi units za maji ulioyotumia kutoka DAWASCO, DUWASA, LUWASA, TUWASA, KASHWASA, MWAUWASA na WASA nyinginezo.
kinavyoonekana hapo kilinyofoka kutoka katika kifaa kingine ambako kilikuwa kimeambatishwa nacho kwa ajili ya kazi yake tajwa hapo juu. na hicho kinaonekana ni cha kizamani sana yumkini enzi za Richard Turnbull.
 
Dah.. Chief hiyo ni hour counter tu... Teknolojia ya 1960s siyo dili wala nini... Labda ukapime chuma chakavu.... Njoo tuchimbe na hii nimeikuta Shambani tukauze pamoja
b75a850783aed051e0e44d6d1137c43e.jpg
 
Lakini mimi kwa kukichunguza kinaweza kikawa ni moja ya vifaa vinavyowekwa kwenye magari makubwa ya mizigo ili kurekodi mwendo. Kwa maana kwamba kinakuwa na uwezo wa kutuma taarifa wapi lilisimama, limekimbizwa speed ngapi au ni kifaa cha kusoma kiasi cha mafuta kilichotumika. C unajua siku hizi kuna wizi wa mafuta na technologia ndo inakuwa. Sasa yawezekana dereva wa gari kakichezea ili kisifanye kazi kikalegea na kimedondoka
Yaweza ikawa,
Lakin huku mtaan kwetu nimejaribu kuulizia hadi madreva wa mabas pia na wamagari ya mizigo nao pia hawakukijua, rabda kama ni matoleo mapya ya magar,
 
Jaman itakua ni kitu gani sasa, robo ya watanzania tunashindwa kujua ninini
 
Mkuu.. Hicho si kifaa cha ajabu... Mwanzoni nilidhani ni mashine ya waiper ila kwa hizo namba, bila shaka hiyo ni mashine ya analojia ya kupima masaa ya mtambo ulivyofanya kazi.. Mitambo kama jenereta, vijiko, ndege, mashine za viwandani huwa zinakuwaga na vipimo kama hivyo.
 
Habari zenu wadau hapa JF,

Jana nilitoa uzi unasema;

Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua
lakini sijapata jibu, sahihi maana kila mtu anakua sirious na utani tu. Tumekua tukiona kua JamiiForums ni sehemu pekee ya kutatua matatizo lakini siku hizi wamekuemo baadhi ya watu sijui utoto.

Kama haukijui kitu achia watu wengine tafadhali usiingize utani, kuna baadhi mlinishauri niingie google nimeingia bila mafanikio.

Nimekipiga picha upya

Kina namba HAC 3753V008

642c5df89bdac38a7e7c9299bb46478e.jpg

Kinavooneka kikiwa kimefunikwa,
15e0140a2baa3a654c5d96714e615782.jpg

Kwa mbele
c4f2916e461d1496e384a94cf75b40f8.jpg
e5479eeebd7c96357c12aef1b813a7fb.jpg
fc77c671a35fefe7b39bd4d59ff48059.jpg

Kikiwa kimefunuliwa sehem ya namba
0b8263357a32ee1d6dfff82be6c3f381.jpg

ddacf5f7d40f6a9d2104384e5141ddde.jpg
Unaweza kuiuza kwa mafundi wa makatapila
Hasa Dozer,inahesabu imefanya kazi masaa mangapi
 
Hapo hukosi madini mtu wangu,
tulia kwanza inaweza ndiyo maisha bora yanakujia;
 
Back
Top Bottom