Mrejesho: Mke wangu Kaomba Msamaha Yaishe

Tuendelee kushauliana nichukue hatua gani ikiwa tumeshasameheana mkuu
 
Kwa vyovyote vile, mimi kama Mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Duniani, nakutaka uandike barua ya kujieleza kwani kuna baadhi ya mambo hayako sawa.
Endeleeni kuniombea na ushauri pia
 

Inabidi wakanywe kwa uzi mkubwa hawa wanawake wa hivi
 
Ila bado hujafkia level ya deepond yule jamaa alisusa SUSAAA wee ume umemdesh dakika 15 ukaletewa upaja ukaweka!
Yule DeePond ndiye alienipa maujanja aisee
 
Huyo mke wako sio wa kumuamini tena kuwa makini atakumaliza hyo ni wa kumuacha kuna siku utakuja hapa kuleta uzi mwingine maana mwanamke hujui kapanga nini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Umefeli
Kakaa nje dk 15 tu karudi na umemfungilia, umefeli kijana.
Ilitakiwa arudishwe na ndugu zake tena kwa kikao kisichopungua masaa nane
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii miaka ya karibuni nchi yetu imekua na vijana wa hovyo kabisa...😠
 
Umefeli
Kakaa nje dk 15 tu karudi na umemfungilia, umefeli kijana.
Ilitakiwa arudishwe na ndugu zake tena kwa kikao kisichopungua masaa nane
Hapana hawa viumbe ni dhaifu sana na wanamapungufu sana kikubwa ni kuishi nao kwa akili

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akishakutishia kuvunja ndoa,lazima arudi kuomba msamaha baada ya kikao cha wazazi wake...dk 15 sasa amejifunza nini hadi umsamehe,angetakiwa arudi kwao walau miezi 2 akafundwe upya
 
Baada ya kumsamehe ulimpiga Pumbu lkn? Ulitakiwa umpige mkao was popo kanyea mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…