Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

Baba mchungaji, ushauri wangu wamuhimu kanisa lako lisajili liruhusiwe kuwa na ndoa zaidi ya mkemmoja,faida ya hatua hiyo,Manisa litajaa sana kwakuwa ndoa ya mke mmoja haiwezekani ni uongo mtupu
 
tuwe Wa kweli asee haya majina tunayo wapa watoto Wetu MTU anaitwa masumbuko sasa huoni kazi hapo.

Mkuu jina lako linasadifu hayo mambo
 
''...People are comfortable to commit heinous sins under the name of God....
 
Mkeo na waumin wengne walkua sahihi kabsaaa kuondoka na kwenda kuanzisha huduma kwingne. Wew hufai hata kua kiongozi wa(mchungaji) wa ng'ombe. Naomba niishie hapa maana nna hasira nisje kutukana bureee
 
Watu wa MUNGU hamjambo?
Baraka za bwana ziwatangulie

Tulikua na ugomvi na mke wangu kwa Muda flani na ikapelekea yy kuondoka kwangu na yeye na wenzie wakafungua huduma yao sehemu nyingine, walidai kuwa naendesha kanisa ndivyo sivyo
Mdogo wa wife hakuondoka na dada yake alibaki akiishi nyumbani kwangu na akaendelea kuabudu kwenye kanisa langu

Baada ya mke wangu kuondoka, mdogo wake akawa ananihudumia, tukawa tunashirikiana pamoja, MUNGU alitufunulia hivyo, akawa ameshika ujauzito

Kwa kipindi chote hiki kumekua na juhudi mbali mbali kutoka kwa wazee na viongozi wa huduma rafiki na sisi za kuturudisha pamoja mm na mke wangu alieondoka, juhudi hizo zimezaa matunda na wakati wowote mke wangu anatarajia kurudi nyumbani tuishi kama mwanzo
Sasa tatizo kubwa limekua ni huyu mdogo wake ambae amekatalia kwangu na kudai hawezi kuondoka, pamoja na kumweleza kuhusu maazimio ya wazee na viongozi kuwa mm na dada yake turudi kuishi kama mwanzo, ameshindwa kunielewa, na kwamba kama nitashikilia msimamo wa kurudiana na dada yake basi yeye ataenda kanisani kutangaza kuwa ana mimba, kwamba yy hawezi kuondoka dada yake ndio ampishe yy maana alishaamua kuondoka kwamba kinachomrudisha ni nn


Watu wa MUNGU nilikua naomba mawazo yenu juu ya suala hili, nitashukuru sana
Huna akili.ukitaka kumtumikia Mungu mtumikie kitakatifu.unamdhalilisha Mungu kwa uchafu unaoufanya
Isitoshe nyie ndo mapastor mnaotaka pessa2 kutoka kwa waumini

Ushindwe kabisa nakukemea
Pumbaaavv
 
Hili litakuwa ni kanisa la miungu sio Mungu. Hakuna kanisa laMungu linaloluhusu uzinzi .
 
We kweli kilaza. Hufai kuwa mtumishi wa mungu. Kwanza unatia kichefuchefu. Hukuona wanawake wengine Hadi ukachuku mdogo MTU. Duh!
 
Mkuu hapo unaionea bangi tu,bangi hapo aihusiki ,wangetumia wasingefanya upumbavu,udwanzi, ukilitimba,usen***kama huo, naomba utengue kauli yako kuhusu bangi
Dah mkuu nlitengua kauli tangu jana aisee wadau walinambia nmeidhalilisha bangi
 
Watu wa MUNGU hamjambo?

Baraka za bwana ziwatangulie.

Tulikuwa na ugomvi na mke wangu kwa Muda flani na ikapelekea yeye
kuondoka kwangu na yeye na wenzie wakafungua huduma yao sehemu nyingine, walidai kuwa naendesha kanisa ndivyo sivyo. Mdogo wa wife hakuondoka na dada yake alibaki akiishi nyumbani kwangu na akaendelea kuabudu kwenye kanisa langu.

Habari hii hapa pitia....

Mke wangu anataka kurudi kwao

Baada ya mke wangu kuondoka, mdogo wake akawa ananihudumia, tukawa tunashirikiana pamoja, MUNGU alitufunulia hivyo, akawa ameshika ujauzito. Kwa kipindi chote hiki kumekuwa na juhudi mbali mbali kutoka kwa wazee na viongozi wa huduma rafiki na sisi za kuturudisha pamoja mimi na mke wangu alieondoka, juhudi hizo zimezaa matunda na wakati wowote mke wangu anatarajia kurudi nyumbani tuishi kama mwanzo.

Sasa tatizo kubwa limekuwa ni huyu mdogo wake ambae amekatalia kwangu na kudai hawezi kuondoka, pamoja na kumweleza kuhusu maazimio ya wazee na viongozi kuwa mimi na dada yake turudi kuishi kama mwanzo, ameshindwa kunielewa, na kwamba kama nitashikilia msimamo wa kurudiana na dada yake basi yeye ataenda kanisani kutangaza kuwa ana mimba, kwamba yeye hawezi kuondoka dada yake ndio ampishe yeye maana alishaamua kuondoka kwamba kinachomrudisha ni nini?


Watu wa MUNGU nilikuwa naomba mawazo yenu juu ya suala hili, nitashukuru sana.

Mkuu nimesoma post yako ,sijasoma mawazo ya wengine,sijui unamwongelea Mungu yupi.Kama ni Mungu wa israel,hawezi kukufunulia utembee na mtu ambaye si mkeo,labda alikufunulia yule ambaye huja kama malaika wa nuru.katika vitu ambavyo Mungu anaheshimu ni neno linalotoka kinywani kwake.Hapo kama ni bungeni wanasema futa kauli,Mungu hawezi kukufunulia uzini na mtu.Hapo kuna mlango umeacha wazi na wewe kwani huijui neno,ulizani shetani amelala,mwanaume huwezi kukaa na mwanamke nyumba moja kama wewe ulivyofanya.Soma biblia yako vizuri,kama ni yale makanisa ya prophetic ministry sitakushangaa kwani nimekutana na watu kibao wameumizwa.
 
Watu wa MUNGU hamjambo?

Sasa tatizo kubwa limekuwa ni huyu mdogo wake ambae amekatalia kwangu na kudai hawezi kuondoka, pamoja na kumweleza kuhusu maazimio ya wazee na viongozi kuwa mimi na dada yake turudi kuishi kama mwanzo, ameshindwa kunielewa, na kwamba kama nitashikilia msimamo wa kurudiana na dada yake basi yeye ataenda kanisani kutangaza kuwa ana mimba, kwamba yeye hawezi kuondoka dada yake ndio ampishe yeye maana alishaamua kuondoka kwamba kinachomrudisha ni nini?


Watu wa MUNGU nilikuwa naomba mawazo yenu juu ya suala hili, nitashukuru sana.
Pastor kama kuna jambo unaweza ni pm kwa ushauri,huyo dada muache aende kanisani akaseme,kama unataka kuiponya nafsi yako inakupasa kumpendeza Mungu kuliko wanadamu.Kuna roho inawatafuta wachungaji ili waangushwe katika uzinzi,wewe si wa kwanza wala wa mwisho.Watumishi wengi wanachokosea ni kuchezea masharubu ya simba.Shetani ni super genius,mtu akimtumikia Mungu anadhani hawezi kuanguka.
Mwache aende kanisani akaseme ana mimba kama utaogopa ni kama ana ku black mail kumbuka "two wrongs does not make it right".Tubu kwa Mungu wa Israel kwa kumanisha,kama ni kupata aibu acha upate kwa wanadamu ili roho yako ipone.Nenda mbele za Bwana omba rehema,na kama umefanya hivyo unatakiwa usiendelee kuhudumia kwenye madhabau ya Bwana kama unamtumikia Mungu wa Israel ,unipm kwani naona kwa jinsi palivyo,kuna mambo nataka niyajue.
Kumbuka wewe kama mtumishi adhabu yako ni tofauti na waumini kwani umepewa jukumu la kuzilindi roho zilizokombolewa kwa damu ya msalaba,roho hizo zikipotea itakuwaje.Mwombe roho mtakatifu akupe cha kufanya.
Nasisitiza ni pm kuna mambo nataka nikuulize.
Napata picha pia ya kanisa lako pia unahitaji kuwa na watu wenye macho ya rohoni,wakati tu unakaa na huyo dada walitakiwa wakuambie unachofanya si sahihi kabla ya haya kutokea.
 
Back
Top Bottom