myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
- Thread starter
- #41
Hapana mkuu..mzigo sio wangu mwanamke mwenyewe ame kiri kwa kinywa chake..Una postpone matatizo.
Huo mzigo ni wako.
Hapana mkuu..mzigo sio wangu mwanamke mwenyewe ame kiri kwa kinywa chake..Una postpone matatizo.
Huo mzigo ni wako.
Sasa kapime NGOMA ili uwe na furaha zaidi!
Dah..bahat nzuri siku ukwaaIla ata wewe unakipaji cha pekee kabisa, yani unathubutu kutembelea rim kwa changudoa.
Una uhakika gani?Hapana mkuu..mzigo sio wangu mwanamke mwenyewe ame kiri kwa kinywa chake..
Ila mkuu hadi mama mwenyewe kabijibu "Sina mtoto na wewe" bado ning'ang'ane tu..nitakuwa mjinga wa karne..ila asente pia kwa maoni yakoUna uhakika gani?
Na kwanin mwanzoni ulikuwa na wasiwasi?
Kwanin usingejiridhisha kabisa kwa DNA?