clecla JF-Expert Member Dec 13, 2016 1,134 1,407 Sep 7, 2020 #41 Mkazie,,,wanawake hawahitaji fair mkuu
Son.j JF-Expert Member Jan 10, 2013 993 2,254 Sep 7, 2020 #42 Koffi Annan said: Usibadilike tabia yako mpya kuwa hivo kwa kitambo kidogo kwa maana atakunogesha hapo danganya Toto mwisho wa siku utaenda kuleleka mahari alafu arudie tabia take ya zamani............ sijui utaambia Nini watu Click to expand... Sure
Koffi Annan said: Usibadilike tabia yako mpya kuwa hivo kwa kitambo kidogo kwa maana atakunogesha hapo danganya Toto mwisho wa siku utaenda kuleleka mahari alafu arudie tabia take ya zamani............ sijui utaambia Nini watu Click to expand... Sure
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,358 Sep 7, 2020 #43 Tabia yake halisi hajaiacha. Hapo anakuonesha tabia yake ya kupika. Siku ukimuoa rasmi ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya.
Tabia yake halisi hajaiacha. Hapo anakuonesha tabia yake ya kupika. Siku ukimuoa rasmi ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya.
walitola JF-Expert Member Nov 28, 2014 4,796 5,520 Sep 7, 2020 #44 Mkuu nakushaur usitoe kwanza mahar hili umchunguze zaidi tabia zake nyingine kwa badae sasa utafanya maamuzi kweli kabadilika au vp
Mkuu nakushaur usitoe kwanza mahar hili umchunguze zaidi tabia zake nyingine kwa badae sasa utafanya maamuzi kweli kabadilika au vp