Mrejesho kwenu MMU, ushauri wenu umenisaidia sana

Usibadilike tabia yako mpya kuwa hivo kwa kitambo kidogo kwa maana atakunogesha hapo danganya Toto mwisho wa siku utaenda kuleleka mahari alafu arudie tabia take ya zamani............ sijui utaambia Nini watu
Sure
 
Tabia yake halisi hajaiacha.

Hapo anakuonesha tabia yake ya kupika.

Siku ukimuoa rasmi ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya.
 
Mkuu nakushaur usitoe kwanza mahar hili umchunguze zaidi tabia zake nyingine kwa badae sasa utafanya maamuzi kweli kabadilika au vp
 

Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom