Mrejesho: Kupima HIV

uko wapi mrejesho, halafu hiyo avatar au we ni ke
 
Endelea kupima mara kwa mara, vile vile HIV haiui haraka kama malaria na kansa, hvo hata ukikutwa nayo unaweza ishi miaka 20 zaidi.
 
Unajua maana ya neno mrejesho?
 
ila kaka ukimwi sikia kwa mtu tu sio kwako waweza konda kwa mawazo Apologise lady
 
Last edited by a moderator:
bhas nimekosea kusema mrejesho Watu8
 
Last edited by a moderator:
dagii nimepona sana sasa natuliaa watoto wazur kumbe wengne majanga
 
Last edited by a moderator:
Wewe bado dogo kweli,yani demu wako unampeleka nyumbani kwenu kwenye nyumba unayolala na wazazi?
 
Hapana mwanangu,weka utaratibu wa kuvaaa but kila mara
 
bora kwenda na kondom tu
 
Sijui kama wenzangu mumeuona huo mrejesho wa huyu jamaa.
 
Kuweka avatar za kike wakati ni wanaume mtaishia kutongozwa na kuomba papuchi huko PM, change the damn avatar😡
 
endelea kupima tu,ipo siku utapata umachotafuta huko vipimon
 
umejaribu kuelezea ukweli ndio nimekupata. huyp dada anasoma chuo gan hapa iringa? ila in general bro pamoja na uhuni wetu nasema hivo sababu na mm na uhuni wangu tuu mkubwa. Mungu ni mwema mno atatumia njia mbalimbali kukuepusha na msala amini nakwambia ukimtumainia kwa. moyo wote pamoja na kwamba hakuna aliekamilika wote tunmkosa atakukomboa tuu. bro katubu upunguze dhambi, toa sadaka ya maana kanisani hlaf kasali aendelee kukulinda maana bado safari ni ndefu. Amen.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…