FaizaFoxy changamkia dealJuzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Salaam.... Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika...www.jamiiforums.com
Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya
Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu
I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami
Tunapenda tusiko pendwa
Kwani bado wanawake watiifu wapo?? ....kumwamini demu n kupoteza muda wako muhimu.....at least nikimuoa ntamuaminiBasi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote
Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
FaizaFoxy changamkia deal
Mbona unaandika kwa kusikitika sana. Hii style yako inaonekana kama unamtishia nyau ili awe mpole urudishe majeshi! Haya mambo kama unaachana naye kweli ukutakiwa hata kumpa taarifa kama umeachana naye! Unapiga ban ya kimya contacts zake zote. Na akitokea kukutafuta unachomoa betri mazima kama kutojibu sms au kukata simu ukigundua ni yeye katumia line tofauti na uliyoblock.Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Salaam.... Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika...www.jamiiforums.com
Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya
Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu
I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami
Tunapenda tusiko pendwa
Kwa tuliopitia vyuo vikuu tunajua lifestyle ya chuo. Kua na mpenzi ambae anasoma chuo kikuu alafu mpo mikoa tofauti we andika maumivu tu. Kuna mengi kule. Loneliness is a big factor plus tamaa etc.