Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Hapo ile principle ya UKINAIFU inakuwa ipo kazini.
 
Mwake
 
Pesa nimempa ilifikia time nikaona ndio future wife
Nimemhudumia kuna time alikua anapeleza ada anakosa nauli ya kurudia chuo anakosa chakula unampa
Nimemhudumia aisee mpaka sometimes nawaza ningejua zile pesa zingekua zinakaa tu but all in all nilifanya kwa mapenz yangu mwenyewe ishapita
Mwanume kama huna hela, kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu.
 
Sawa mkuu
Yamkini akawa amejifunza kupitia vituko alivyokufanyia wewe na ameamua kutoka moyoni kujirekebisha.Utajuaje?.Nakushauri shika yako straight,yake muachie mwenyewe.
 
Kwenye kundi la vipofu chongo ni mfalme...

Sasaa umeona mbelee.
 
Yaani hapo amepata mwingine sasa wewe umewekwa pending ili yule mpya akizingua arudi kwako mazima.

Au amepata mwingine lkn hamuhudumii kama wewe so wewe unabaki wa huduma tu mapenzi anapewa mpya

Kama umejitoa ni jambo jema sana, ila nakuhakikishia atarudi tu siku si nyingi
 
katika mahusiano yoyote yale iwe mwanamke au mwanaume ikitoke kaachwa na mtu aliyekuwa anampenda ila anafanya vituko vya hapa na pale ndio inakuwaga hovo lazia roho imuume na kyfikiria kwamba keshampoteza na nature ya manadamu...kwa hilo umefanya la maana na unakaribishwa kuwa mwanaume kamili maana siku nyinine ukikutana na type kama hii utapia chini mapema sana na wala hutashangaa ni congrats
 
Pole sana mkuuu,ila umefanya makosa kumwambia ukweli,ilitakiwa umuache kimya kimya
 
mkuu naomba namba ya uyo dada PM ili nimpunguze mawazo, nakuhakikishia nita mgegeda ndani ya siku moja tuu
 
sawa kwa taarifa, sasa kaa kimya tuone kama umekomaa ki maamuzi. fanya mambo yako huru, japo mawazo, na kuumia moyo lazima lazima ikutokee tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…