Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Anakupigia simu maana amegundua anapoteza nafasi. Takosa ulivyokuwa unampa.. sasa akili imemruka.
Kazia hapo hapo ii ajue ww si mpumav. Next time ujifunze.. ukionamtu hakujali tena piga chini bila taarifa.
Kwakweli imetosha
Am now rehabiliating myself
 
Exactly
Na ndio kilichonitokea
 
Kwa tuliopitia vyuo vikuu tunajua lifestyle ya chuo. Kua na mpenzi ambae anasoma chuo kikuu alafu mpo mikoa tofauti we andika maumivu tu. Kuna mengi kule. Loneliness is a big factor plus tamaa etc.
 
Na ndio hicho
Mi niko mwanza yeye dom
Na mbaya zaidi wadada wanaosoma colleges hawajielewi zaidi ya chuo kikuu
Kwa tuliopitia vyuo vikuu tunajua lifestyle ya chuo. Kua na mpenzi ambae anasoma chuo kikuu alafu mpo mikoa tofauti we andika maumivu tu. Kuna mengi kule. Loneliness is a big factor plus tamaa etc.
 
 
Yupo bado hajapata
Wewe ni mwanamke nikupe mawasiliano naye??
 
nikushauri kitu next time una date tena. ukimpenda msichana kamwe usimuonyeshe maisha yako yote ni kwake tu attention sijui nini hapana, ishi maisha yako jipende wewe kwanza halafu mwingine ndo afuate. balance attention yako mpe kiasi nyingine kwa rafiki zako, familia na shughuli zako za kiuchumi. muoneshe kuwa apart from her wewe kama wewe una maisha yako na priorites zako. all the best
 
Kweli yeye ashike yake full stop.
 
Mwanume kama huna hela, kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu.
 
Yamkini akawa amejifunza kupitia vituko alivyokufanyia wewe na ameamua kutoka moyoni kujirekebisha.Utajuaje?.Nakushauri shika yako straight,yake muachie mwenyewe.
Yeye kua na mwingine si tatizo ila uwezo wa huyo mwingine kuishi nae na kumumilua hapo ndo nnakukuzungumzia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…